Lipia alafu ukisha ichapa weka wazi kuwa next time aje yeye kama yeye... Pesa utampa kwa hiari yako sio yeye kukuingiza mkenge wa kumnufaisha wakati wewe unashindia chapati maharage.Nachukia mwanamke anayeomba pesa at the same time K yake naitaka... hapa sijui nachomokaje
Bwashee ukila bia yako ,ukatulia sehemu ,matapeli utaowaona tuKati maneno ya maana unayo ongea leo ndo umenena kwa kweli.. Kumbe pombe zina some sort of awakening kama psychedelics?
Mkishakuwa ma single maza Sisi zetu ni kuwapopoa Tu, msilalamike eti tunawanyanyasa.
Single Maza wote walikuwa wakiwaza kama wewe hapo awali
Bwashee wataachaje na viazi bado wanazaliwa tuNiliandika zamani uzi, bado hawajaacha?
Sehemu kubwa ni kwasababu sisi hatuwezi kushida nyege, zinatusumbua sanaBwashee wataachaje na viazi bado wanazaliwa tu
Nimefanya mzaha wapi???Sasa kama unayajua haya kwa nini unafanya mzaha katika hili? Kwanini una ongezea kuni moto wenye madhara tayari?
Kwa hii mentality mbona binti yako atakesha tuu..Hakuna sehemu niliyolalamika! na kwa nini mtu akitetea jambo mnampa na jina?
Mimi hata ukiniita single mama siumii popote.....
Karibu kwangu kama una vigezo, binti yangu anamaliza chuo mwakani hakikisha hutoki familia maskini na wew usiwe maskini
Bwashee hii ni manipulation ya majambazi ya kike kudai kua sisi tunahitaji ngono kuliko wao shtukaSehemu kubwa ni kwasabu sisi hatuwezi kushida nyege, zinatusumbua sana
🤣🤣🤣🔥Nachukia mwanamke anayeomba pesa at the same time K yake naitaka... hapa sijui nachomokaje
Dadeki🤣🤣Hakuna sehemu niliyolalamika! na kwa nini mtu akitetea jambo mnampa na jina?
Mimi hata ukiniita single mama siumii popote.....
Karibu kwangu kama una vigezo, binti yangu anamaliza chuo mwakani hakikisha hutoki familia maskini na wew usiwe maskini
My dia ukitoa ujuaji wa humu jf binti yangu hawezi kukesha na hata akikesha haiwezi kuwa kama unavyodhani kipenzi........Kwa hii mentality mbona binti yako atakesha tuu..
Unajua ulicho kifanya, unasapoti ujinga wa wanawake kufanya mapenzi kama sehemu ya kupata ridhiki... Yaani kama biashara ambacho si tofauti na malaya tuNimefanya mzaha wapi???
Yes! kila mwanaume achukue omba omba anae mmudu.
Kiuhalisia kuna mwanamke asietaka matunzo?
Kiukweli sometimes watu wanazingua sana.Nimefanya mzaha wapi???
Yes! kila mwanaume achukue omba omba anae mmudu.
Kiuhalisia kuna mwanamke asietaka matunzo?
Dhana ya kuwa omba omba kuna wakati wala sio makosa ya wazazi.Yeah na sisi baba wa watoto wa kike tuwatengenezee future nzuri watoto wetu , pale palipo na mwanamke ombaomba kuna baba mpumbavu
Sasa unafikiri kwa mindset yako ya kudhani kila mwenye pesa ndie atamtunza binti yako si inaonesha how less mature you are?My dia ukitoa ujuaji wa humu jf binti yangu hawezi kukesha na hata akikesha haiwezi kuwa kama unavyodhani kipenzi........
Wanaolalamika kuhudumia mwanamke wana kipato dumavu ila wanataka pisi angavu.Dhana ya kuwa omba omba kuna wakati wala sio makosa ya wazazi.
Kiafrika mwanamke anajua yeye ni wa kupewa tu, kwamba ukiwa nae umhudumie, ni haki yake na wajibu wako. sasa hili tatizo kulimaliza sio kazi ndogo.