mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 10,487
- 14,559
Zari haombi kila siku.Kila mwanamke anaomba pesa kwa level yake, huyo zari ataomba ten?
Ataomba mara moja ili kuboost projects zake zikikwama mahali au ameitiwa show mahali let say ufaransa na hajalipwa hadi itakapokamilika hapo ndio ataomba hela za kucover gharama ticket na hotel show ikiisha pesa inaingia
