Wanawake punguzeni kuomba sana hela, imekuwa kero

Wanawake punguzeni kuomba sana hela, imekuwa kero

Hata mimi nashangaa hizi standard zinatokea wapi, ukiona mwanaume anakubali mwanamke flani sio hadhi yake ujue ana elemet za u simp
Sisi binadamu tunafanana but we’re not equal wacha ufala, mfano mdogo tu we unafikiri Dada mkuu wa shule anavyotongozwa ni sawa na mwanafunzi wa kawaida lakini wote si watoto wakike tena wanasoma shule moja? Kwenye maisha kuna levels na suala la kukubaliana na uhalisia kwenye maisha tunaita Ultra Self Awareness ✅
 
Yaani wewe ulivyo lijinga bado unawaza mwanamke atakupendea nini pasipo pesa?

Kwa hiyo ubongo wako unawaza rubbish stuff namna hii?

Ndo maana nchibhaiendelea kwa sababu bado kuna majitu yana mindset za kijinga kama wewe. Yaani unawaza namna ya ku please mwanamke ili uonekane mtu? Stop being a fool. Hakuna satisfaction kwenye materialistic stuff mkuu. Amka mapema acha ujuha..

Ndo nyie wenye mindset zinazopleleka taifa na jamii shimoni kabisa.

Hiyo submission haiji kwa kumpa pesa, bali ya kuwa kiongozi bora wa kumfanya wajione mwenye thamani ya kweli. Sio kumpa pesa, ambayo kimsingi sio thamani. Umeona watu wa natoa marange lakini wapi?

Sembuse kiji laki chako? Acha ushamba work on yourself and your life or else utakuwa unatamani wanawake na atakutumia kama liability tu
We bado dogo janja usinipotezee time. Ukikua utajua
 
Pesa inanunua kila kitu dogo. Zitafute upunguze kulalamikia wanawake
Sija lalamiko a mwanamke, nawashangaa nyie ambao nafikiri pesa inamnunua mwanamke!

Ukisema pesa inamnunua malaya sawa, maana hiyo sasa inakuwa biashara
 
Na ukijifanya gentleman, watakupuna hela zako na huwat*mbi wala nini!😁

Wanataka hela na kuzifuata hawataki,wanataka zitumwe tu.
Juzi kuna demu nikamwambia nina 50 nikutombe akaanza mara ooh umeniona malaya nikamplease baadae et ananiulizia hiyo hela unanitumia saa ngapi nikaanza kushangaa hela bure bila kuifanyia kazi
 
Mkuu unaelewa comment zangu?
Mkuu unaelewa comment zangu?
Nakuelewa vizuri tena zaidi ya sana sasa ngoja nikupe mfano ili kukusahihisha na kukuonyesha kuwa hicho ulichokiwaza wewe hakipo.
Umeona yule Demu wa Diamond wa Uganda anaitwa Zari ze Boss lady yule pale akisema yuko level za juu nakubali maana haliilii njaa kuomba hela kila siku ana nyumba zake,ana magari yake ya maana Diamond hata asipompa hela maisha yake yanaenda,watoto watasoma shule za kimataifa kwa gharama zake mwenyewe.
Sasa wewe huwezi kunishawishi kwamba una level za juu halafu hata hela ya kula kesho huna unategemea hadi uombe yaani huna unachomiliki zaidi ya nguo uliyovaa na sehemu za siri tu hiyo level inatokea wapi?
 
Nakielewa vizuti tena zaidi ya sana sasa ngoja nikupe mfano ili kukusahihisha na kukuonyesha kuwa hicho ulichokiwaza wewe hakipo.
Umeona yule Demu wa Diamond wa Uganda anaitwa Zari ze Boss lady yule pale akisema yuko level za juu nakubali maana haliilii njaa kuomba hela kila siku ana nyumba zake,ana magari yake ya maana Diamond hata asipompa hela maisha yake yanaenda,watoto watasoma shule za kimataifa kwa gharama zake mwenyewe.
Sasa wewe huwezi kunishawishi kwamba una level za juu halafu hata hela ya kula kesho huna unategemea hafi uombe yaani huna unachomiliki zaidi ya nguo uliyovaa na sehemu za siri tu hiyo level inatokea wapi?
Sasa kama ni hvy, ww unasemea nini na mm nasemea nini?

Mm nasema tupunguze shobo kwa wanawake wasio level zetu.

Sasa hapo hujaelewa nini sasa wakat tyr umesema level ya zari sio level yangu mm ambaye hata pesa ya kula ni kipengele.

Mm nadhani bado hujaelewa comment zangu.
 
Wakuu Habari zenu!

Kiukweli wanawake wamezidi sana kuomba pesa yaani ukienda WhatsApp ni hatari, ukikaa kidogo kwenye SMS utasikia nikwambie kitu kumbe unaombwa hela.

Jamani tabia hii kwa wanawake imekuwa kero kuliko hata wale wanaoomba msaada barabarani. Bora hela yangu nimpe yule mtoto mdogo ombaomba kuliko wewe mtu mzima tena umeolewa, unafanya kazi, pesa ya bando la WhatsApp unayo halafu unaomba pesa nyingine.

Hakuna mwanaume anayependa kutoa hela, maana wote mlipewa viuongo sawa, mikono, miguu, akili n.k ili mfanye kazi sasa, sasa nyie ni kuomba hela tu!

Utafiti usiyo rasmi
Asilimia kubwa wanaojiuza ni wanawake na ukiwauliza watakwambia wanashida na Fedha.

Sasa swali, mbona wanaume hawajiuzi kama nyie ili tu kupata pesa? Ina maana wanaume wana akili sana ya kutafuta pesa au ni vipi?

Ukweli mchungu, punguzeni tabia hii imekuwa kero.
Kwa hiyo unataka waombe nyasi mkuu¡
 
Sasa kama ni hvy, ww unasemea nini na mm nasemea nini?

Mm nasema tupunguze shobo kwa wanawake wasio level zetu.

Sasa hapo hujaelewa nini sasa wakat tyr umesema level ya zari sio level yangu mm ambaye hata pesa ya kula ni kipengele.

Mm nadhani bado hujaelewa comment zangu.
mimi nimekuelewa ila wewe ndio hujanielewa unatafsiri kinyume chake.
Mimi ninachosisitiza ni hivi wanawake wote siku hizi wamekuwa ombaomba haihusiani na level mbona wanawake wa zamani hawakuwa ombaomba ina maana zamani hapakuwa na level?
Na mtoa mada hajasema watu wasitoe hela au wasihudumie wanawake anachoongelea yeye ni ile kero ya wanawake kuomba hela hovyo bila mipaka yaani kwa mfano leo amekuomba hela ya kusuka umempa,kesho anakwambia gesi imeisha,keshokutwa anakwambia naomba nauli nimefiwa na bibi yangu sijui wapi huko na huyo bibi wewe humjui au pengine hata familia yake bado haujaitambua ndio mko hatua za mwanzoni.
Kinachokera zaidi hata siku ya kwanza tu kuonana anakurundikia matatizo yake lukuki sasa unajiuliza msingeonana hayo matatizo yake angefanyaje?
 
Kila mwanamke anaomba pesa kwa level yake, huyo zari ataomba ten?
 
Mtu kama anakuheshimu hawezi kukuomba mia 5 au talking stage sjui elfu 20 mara vocha or else una deal na mabinti wadogo sana!
Ishu sio heshima per se, ishu kubwa ni lack of attraction, ujasikia sometimes wadada wakiwa wanaongelea wanaume wanaowafata, utasikia anamwambia mwenzake wa kike Sasa uyo mwanaume utampeleka wapi? muombe laki 1 (umeona hapo ishakua sio swala la mtu kuwa na shida ya hela bali kukomoana)

Kuna mdada pia alianzisha Uzi humu jf aliongea ukweli kwa kiasi flani, alisema wanaume tusipotaka kupendewa hela tupendewe nini, sababu wengi wetu hatuna muonekano wa kushtua wanawake.

Na hii mitandao sahivi imefanya wanaume wengi wamejanjaruka, akiombwa hela kwenye talking stage anajua mmh muonekano wangu haujamvutia huyu mdada, hapa nitatumika tu..mtu anaishia kusepa wengine wanakua jf kuanzisha nyuzi za hasira Seran
 
Kwa uchumi huu wa Samuya wewe ukiwa na 200k tuu unakula pussy classic kabisa yani ni wewe tuu na mfuko wako.
 
Back
Top Bottom