Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
Hakuna namna, nami nasema anyooshwe tuu, huyo demu aje nimpe pesa ya kifuta jasho mana anafanya kazi nzuri 😂Kwa huu ubishi acha aendelee kunyooshwa 😃
Hakuna namna, nami nasema anyooshwe tuu, huyo demu aje nimpe pesa ya kifuta jasho mana anafanya kazi nzuri 😂Kwa huu ubishi acha aendelee kunyooshwa 😃
Mkuu, huyo demu anayempa pesa hatokupa mbunye Kamwe, hizo hasira zako mpelekee mama yakoKwani mpaka useme? 😂 Mbona umeanza kutia huruma mapema hivi?
Nakwambiaje acha ujinga na ujuha wa kupaparukia vidampa vya mjini. Utaoneakana pungu tu. Ndo nyie mnaokujaga online mnalia mmetapeliwa kumbe mlitumia mbo** kufikiri
Hakuna wa kuninyoosha kiazi weweKwa huu ubishi acha aendelee kunyooshwa 😃
Tatizo unachanganya mambo mdogo wetu, apa tunazungumzia upwiru sio maisha. Huez kumeet na dem leo tu kisa hajakuomba hela then unapigia msitari kuwa sasa huyu ni wife material nitamuoa. Wacha ufala qmmk. Sasa mwanamke asipokupendea hela atakupendea nn bwashee? Utatafuta vipi hela sasa? Imagine umeoa mwanamke yeye ni kukupetipeti tu haongelei masuala ya hela utakufa maskini bro kila siku kulaumu serikali. Mwanamke atakua vipi submissive kwako kama hutoi chapoo?? Come on. Kama unataka mwanamke mpambanaji jua hautamuoa bali mtaoana. Labda nikuibie siri ukiwa unampa mtu pesa doesn’t matter ni mwanamke au mwanaume anasubmit kwako!! Kaa kipassword, kama hata pesa za kuonga madem zinakusumbua endelea kujichanga wenzio wanaonga Range af fresh tu yanKama wewe unadhani mwanamke kujishughulisha ni mpaka utoe hela basi ni mjinga wa kutupwa na una uhalisia hasi sana kuhusiana na mapenzi au mahusiano
Wanaume tukipunguza shobo kwa wanawake wasio level zetu, ah fresh sana aisee hasira ndogo ndogo zisizo na maana zitaishaKama huna hela achana na madem. anaeza kuja akachukua iyo hela na usimfanye chochote. Wanawake siku zote wako mbele ya muda
Endelea kutoa pesa mzee, c n zako 😂Hakuna wa kuninyoosha kiazi wewe
Ni nyie mapungufu mabao mnaakili za mizoga hamjui thamani ya Mwanamke na mnabaki kuwa ambassador wa nyapu zilizo fukunyukiwa na ila mtu. Nakula makombo yaliyo suguliwa kama ukoko.
Na kwambia je kalilie chooni...Mkuu, huyo demu anayempa pesa hatokupa mbunye Kamwe, hizo hasira zako mpelekee mama yako
Kati yangu na yako anayeweka hadhi kwa wanawake unafikiri anayetoboka na kutoa hela kipuuzi ni nani?Endelea kutoa pesa mzee, c n zako 😂
Una deal na aina gani za watu mkuu?Nyoo! Siwezi deal na aina hizi za watu aisee nakupotezea dk moja!
Nan anaweka hizi standard, na njia zipi zinatumika kujua levelsMm nadhani wanaume tupunguze shobo kwa wanawake ambao sio level zetu.
Kama level yako ni demu wa buku utampata tuu.
Mzee wangu kumbe shida yako we ni pesa. PoleKati yangu na yako anayeweka hadhi kwa wanawake unafikiri anayetoboka na kutoa hela kipuuzi ni nani?
Safi, umejichagulia level yako unayoiona unaiweza, uzuri ni sio ubakaji bali wote n watu wazima na mnafurahia 🔥Ndio maana saiv niko zangu na mabeki tatu, huku ni kuzichapa bure hata bila jero
Hata mimi nashangaa hizi standard zinatokea wapi, ukiona mwanaume anakubali mwanamke flani sio hadhi yake ujue ana elemet za u simpHakuna mwanamke wa level yoyote Ile , mwanamke ni mwanamke tu .
Kumwekea mwanamke level ni utapeli tu kama mwingine.
Mfano demu anakuomba laki na mwingine anakuomba ten, h ndio standard nayoisemea mm kulingana na mtoa mada anavyolalamika mademu kuomba sana pesa.Nan anaweka hizi standard, na njia zipi zinatumika kujua levels
Ww kila demu unaweza kumlomba?Hata mimi nashangaa hizi standard zinatokea wapi, ukiona mwanaume anakubali mwanamke flani sio hadhi yake ujue ana elemet za u simp
Kwa hiyo wanawake wote wanaoomba hela level zao ni za juu?Kama hizo pesa anazoomba ndio level zake yeye mwenyewe mbona hana hizo hela hasi akakosa ideas zote za biashara akaona ageuze mapenzi ndio biashara ya kuendesha maisha yake.Mm nadhani wanaume tupunguze shobo kwa wanawake ambao sio level zetu.
Kama level yako ni demu wa buku utampata tuu.
Hv unaelewa comment zangu kweli ww jamaa?Na kwambia je kalilie chooni...
Huu ujinga unao sapoti humu wa kukaa una shadadia vidampa na Malaya ni upuuzi wa wamatumbi ambao wana akili za zinjathropus..
Yaani wewe ulivyo lijinga bado unawaza mwanamke atakupendea nini pasipo pesa?Tatizo unachanganya mambo mdogo wetu, apa tunazungumzia upwiru sio maisha. Huez kumeet na dem leo tu kisa hajakuomba hela then unapigia msitari kuwa sasa huyu ni wife material nitamuoa. Wacha ufala qmmk. Sasa mwanamke asipokupendea hela atakupendea nn bwashee? Utatafuta vipi hela sasa? Imagine umeoa mwanamke yeye ni kukupetipeti tu haongelei masuala ya hela utakufa maskini bro kila siku kulaumu serikali. Mwanamke atakua vipi submissive kwako kama hutoi chapoo?? Come on. Kama unataka mwanamke mpambanaji jua hautamuoa bali mtaoana. Labda nikuibie siri ukiwa unampa mtu pesa doesn’t matter ni mwanamke au mwanaume anasubmit kwako!! Kaa kipassword, kama hata pesa za kuonga madem zinakusumbua endelea kujichanga wenzio wanaonga Range af fresh tu yan
Mkuu unaelewa comment zangu?Kwa hiyo wanawake wote wanaoomba hela level zao ni za juu?Kama hizo pesa anazoomba ndio level zake yeye mwenyewe mbona hana hizo hela hasi akakosa ideas zote za biashara akaona ageuze mapenzi ndio biashara ya kuendesha maisha yake.
Usiikimbile on a safe zone mpuuzi..H unaelewa comment zangu kweli ww jamaa?
Em zisome tena ukiwa umetulia na akili timamu.
Em onyesha comment yangu moja niliosapoti malaya.