Wanawake punguzeni kuomba sana hela, imekuwa kero

Kati ya redlfags mbaya sana kwa mwanaume ni kuombwa pesa..

Ukiona demu kaingiza pigo za sina hela ya nini! Sijui nataka kushuka, sijui nini.. Broo kimbia usawa wa hussein bolt

Save the nonsense that you know is already starting to happen. Ila ukiona manzi anajishugilisha kitandani, anakujulia hali, anataka attention yako bila hiyana na Uoga.. My friend mwoneshe hata ile pesa uloficha kwenye kibubu.... She's a treasure and she is a keeper
 
Inategemea na una deal na aina gani ya watu ef 20 nayo ni ya kukaa unaomba watu ambao umekutana nao siku mbili😅
Elf 20 kubwa, wadada wanaomba hadi elf 10, elf 1, vocha ya 500, n.k

Ila nafikiri sio kila kizinga kipo kwa nia ya kumfukuza mwanaume, Kuna vizinga vingine vinaonesha mwanamke anakuchukuliaje kwenye akili yake.

Kuna hela nyingine mwanamke anaomba during talking stage, sio kwasababu ana shida sana ya hela, ni sababu kichwani kwake anajisemea aah huyu mkaka nita-date nae, ila hanivutii kiviile, sio type yangu kihivyo, but he is ok ana muonekano wa kawaida, akae sawa, asepe sawa, ngoja nimuombe elf 20 ni solve msala flani.. Seran
 
Kmmk
Yaani huyo jamaa ni mngese sana, ndo maana limekaa kimayamayai kama jike tu.

Sasa legacy gani lina acha kwenye jamii?

Ila vixen man huwa nawatamani kinoma, ubaya ni kuwa huwa ukishamweka kitandani ndo unajua kumbe uzuri sio mwone kano wa nje! Those bitches hawanaga akili kabisa.

Ukiona demu anapiga u vixen maisha yake yote jua sio u vixen tu anacharazwa Sana mboko za nyama
Hao vixen n wabovu knoma bora mademu zetu wa uswahilini tuu
 
Mm nalialia nn wakat ww ndo unajipa matumaini hapa baada ya kupigwa na hujapewa uchi.

Mm siwez kumshobokea demu asiye level yangu.
Nimepigwa na nani boya wewe, nimekuuliza kwa akili nilizo nazo mimi, unafikiri kuna demu wa kunichezea mchezo?

Au wewe boya unayeshobokea makebo ya wanawake?
 
Wap nmeshobokea mataco ya mwanamke?
 
Elf 20 kubwa, wadada wanaomba hadi elf 10, elf 1, vocha ya 500, n.k

Ila nafikiri sio kila kizinga kipo kwa nia ya kumfukuza mwanaume, Kuna vizinga vingine vinaonesha mwanamke anakuchukuliaje kwenye akili yake.

Kuna hela nyingine mwanamke anaomba during talking stage, sio kwasababu ana shida sana ya hela, ni sababu kichwani kwake anajisemea aah huyu mkaka nita-date nae, ila hanivutii kiviile, sio type yangu kihivyo, but he is ok ana muonekano wa kawaida, akae sawa, asepe sawa, ngoja nimuombe elf 20 ni solve msala flani.. Seran
Exactly! Ila hizo aina za vocha sjui jero labda watoto wa shule, siwezi na sitokaa nikaweza!

Umesema ukweli hapo mtu ana kuclassify kwenye elfu 20, anavyokuchukulia ndivyo anavyokupeleka

Mtu kama anakuheshimu hawezi kukuomba mia 5 au talking stage sjui elfu 20 mara vocha or else una deal na mabinti wadogo sana!
 
Ukiande sijawahi kuufanya, na sinaga time na demu mwenye shobo, infact huwa nawaonesha kuwa ni washamba na hawana beauty standard ya aina yoyote

Demu anayepiga mizinga ni sawa na mlala hoi asiye taka kujishughulisha
 
Save the nonsense that you know is already starting to happen. Ila ukiona manzi anajishugilisha kitandani, anakujulia hali, anataka attention yako bila hiyana na Uoga.. My friend mwoneshe hata ile pesa uloficha kwenye kibubu.... She's a treasure and she is a keeper
Just from nowhere? Labda awe kakutongoza yeye vinginevyo piga tu nyeto mzee wangu haya mambo waachie wanazengo
 
Elf 20 kubwa, wadada wanaomba hadi elf 10, elf 1, vocha ya 500, n.k

Ila nafikiri sio kila kizinga kipo kwa nia ya kumfukuza mwanaume, Kuna vizinga vingine vinaonesha mwanamke anakuchukuliaje kwenye akili yake.

Kuna hela nyingine mwanamke anaomba during talking stage, sio kwasababu ana shida sana ya hela, ni sababu kichwani kwake anajisemea aah huyu mkaka nita-date nae, ila hanivutii kiviile, sio type yangu kihivyo, but he is ok ana muonekano wa kawaida, akae sawa, asepe sawa, ngoja nimuombe elf 20 ni solve msala flani.. Seran
Hapo umenena mkuu😎
 
Kati ya redlfags mbaya sana kwa mwanaume ni kuombwa pesa..

Ukiona demu kaingiza pigo za sina hela ya nini! Sijui nataka kushuka, sijui nini.. Broo kimbia usawa wa hussein bolt

Save the nonsense that you know is already starting to happen. Ila ukiona manzi anajishugilisha kitandani, anakujulia hali, anataka attention yako bila hiyana na Uoga.. My friend mwoneshe hata ile pesa uloficha kwenye kibubu.... She's a treasure and she is a keeper
Mwingine hat kuchati msg Tu ni mbovu lakini anataka hela, namlima block siku hiyo hiyo
 
Just from nowhere? Labda awe kakutongoza yeye vinginevyo piga tu nyeto mzee wangu haya mambo waachie wanazengo
Kama wewe unadhani mwanamke kujishughulisha ni mpaka utoe hela basi ni mjinga wa kutupwa na una uhalisia hasi sana kuhusiana na mapenzi au mahusiano
 
Wap nmeshobokea mataco ya mwanamke?
Kwani mpaka useme? 😂 Mbona umeanza kutia huruma mapema hivi?

Nakwambiaje acha ujinga na ujuha wa kupaparukia vidampa vya mjini. Utaoneakana pungu tu. Ndo nyie mnaokujaga online mnalia mmetapeliwa kumbe mlitumia mbo** kufikiri
 
Back
Top Bottom