😂Hapana , kuna tofauti ya kuishiwa kwa fukara na kuishiwa kwa mtu maskini tu , mimi kama maskini manzi wangu nikiishiwa wala hawazi , anajua akili ninayo tu😅
Mapenzi ni fumbo 😂😂mapenzi ni nin 😁
We jamaa noma!
Tofauti ya fukara na maskini ni ipi mkuu ni hiyo Akili?!!Hapana , kuna tofauti ya kuishiwa kwa fukara na kuishiwa kwa mtu maskini tu , mimi kama maskini manzi wangu nikiishiwa wala hawazi , anajua akili ninayo tu😅
Anajua utasolve matatizo!Aisee, ukizipata anakuona handsome tena..
Ukijiachia,utabagazwa!Mapenzi ni ujinga fulani hivi mtu anazani kwa kumuweka mwanamke ndani anajua amepatia kumbe amejiongezea matatizo yatakayompelekea hadi kufa