Wanawake punguzeni kuomba sana hela, imekuwa kero

Wanawake punguzeni kuomba sana hela, imekuwa kero

Msiwadanganye hawa watoto wakajigeuza ombaomba na kutegemea maisha mazuri yatoke kwa wanaume.

Lete namba ya huyo binti mara moja, nimpongeze kujitoa kwenye kundi la wajinga na ombaomba
 
We ni mwanaume ishi kwa akili na mwanamke, hata kama haombi hela hawezi kukudhuru....jitambue tu basi. Mwanaume ni mwanaume....ukisema wiki nzima Tunakula dagaa tuongeze madini chuma mwilini sitaki kuona mtu anakula chakula tofauti ndani kwangu kwa muda huo...itakuwa hivyo...no discussion😋😀😀
 
Mara tutafute asiyeomba, mara tuogope asiyeomba mnatuchanganya!

Kinyamkela nichambulie nyota kuna dem nimemuelewa, mashuke.
 
18e9d6e8c877e25c0b5a52d86b80e3e2~2.jpg
 
Back
Top Bottom