Uzi ufungweee🚫Mm nadhani wanaume tupunguze shobo kwa wanawake ambao sio level zetu.
Kama level yako ni demu wa buku utampata tuu.
Vijana komaeni kwanza akili na kipesa, ndio muingie kwenye mahusiano. Kile ambacho mnata watoto wakike wawe submitive kwenu mna kikwepa ambacho ni hicho kumuhudumia ili heshima iwepoIla wanawake sikuizi wanapenda hela jamani.
Kama una hela utatomba mpaka uchoke.
Hakuna mwanamke wa level yoyote Ile , mwanamke ni mwanamke tu .Mm nadhani wanaume tupunguze shobo kwa wanawake ambao sio level zetu.
Kama level yako ni demu wa buku utampata tuu.
Tena Bora akiomba wa kike unampa na unamfanya kama liability kwamba kuna kesho atakufaa.....Unataka wafanyaje, Wawagawie kama karanga? Kale unapopelekaga mboga bro..
Shombo katika maisha haya ni kitu kibaya sana.Mm nadhani wanaume tupunguze shobo kwa wanawake ambao sio level zetu.
Kama level yako ni demu wa buku utampata tuu.
Machokoraa kibao halafu anambwela hovyo!🦆Mm nadhani wanaume tupunguze shobo kwa wanawake ambao sio level zetu.
Kama level yako ni demu wa buku utampata tuu.
Na bado hawawaoni wanatukalia kooni, unafkiri kuombwaombwa mchezo! Ukijichekesha tu imo, lakini hicho kigezo kinatupunguzia usumbufu mwingi sana!Tena Bora akiomba wa kike unampa na unamfanya kama liability kwamba kuna kesho atakufaa.....
Kuliko Hawa madogo wanashinda dm kila siku kuomba 10 10 wanakera unawapa hela na unajua itakua scarcity
Shombo gani tena hilo ba mjengo?Shombo katika maisha haya ni kitu kibaya sana.
Wanauvaa vizuri, wanapendeza, Wana shine, nyie wahpngaji kila siku mnavaa mitumba na nguo kukuuuIla wanawake sikuizi wanapenda hela jamani.
Kama una hela utatomba mpaka uchoke.
Hii kitu hadi mimi nishawai fanya dah! Noma mno😄😁Wanaume tunakuwa wajinga sana, ni basi tu huenda nature inatutaka kuwa hivyo.
Mwaka fulani kabla sijaoa niliamka bila mia ya chai kisa mtoto mzuri anataka maisha safi, nikatuma na kujimaliza...
Noma sana!!
ShoboShombo katika maisha haya ni kitu kibaya sana.
Wewe mbona unawashobokea wanawake ambao siyo size yako, sisi tunakuthale tuUzi ufungweee🚫
Hahaha wanakuwa wamekudharauNa ukijifanya gentleman, watakupuna hela zako na huwat*mbi wala nini!😁
Wanataka hela na kuzifuata hawataki,wanataka zitumwe tu.