Wanawake punguzeni kuomba sana hela, imekuwa kero

Wanawake punguzeni kuomba sana hela, imekuwa kero

Acha shobo kwa mwanamke asiye level yako, utabaki kulalamika kama mtoa mada
Sina shobo, wewe ndo mwenye shobo,unaonekana zoba la mapenzi kushindwa kujua worth yako. You're giving your worth away to a pussy.

Life isn't measured by a girl's ass but unmaterial stuff they hold.
 
Kama hawezi level ya demu wa laki bc atulie atafute demu wa level ya buku jero, uzuri mademu wa level ya chini, kati na juu wote wapo huko huko tunapoish
Kwanini muishi kijinga namna hii

Akili za mmatumbi wa chini kabisa! How can you trade your dignity and worth to another human being?
 
Sina shobo, wewe ndo mwenye shobo,unaonekana zoba la mapenzi kushindwa kujua worth yako. You're giving your worth away to a pussy.

Life isn't measured by a girl's ass but unmaterial stuff they hold.
Mbona povu la asubuhi, vp kuna demu amekimbia na pesa yako bila kukupa khuma aliyokuhaidi?

Au ni yule demu uliyemuandikia uzi ameshakunyoosha mapema tuu?

😂
 
Ndo maisha tuliyo Chagua. Na wao wanaona fursa hiyoo..

Imagine saiz Instagram hata kuchati tu mtu anakuomba elf 10, kwani yeye kawa daktari na kuna hela ya mazungumzo?
Yan kuna group la juma lokole la Instagram linaweza kuwa kimya hata week ukipost tu text unalipia 10k...
But huduma yake Ni uhakika mnooo yan ukishalipia tariff tu huduma ipo mpaka delivery anakufanyia...
At least anatusaidia sisi tunaopenda kuvumbula video vixens
 
Kama hawezi level ya demu wa laki bc atulie atafute demu wa level ya buku jero, uzuri mademu wa level ya chini, kati na juu wote wapo huko huko tunapoish
Kila kona wapo, hata wanaume pia wanazidiana level huwezi ukawa na unayemtaka tu mpaka ufikie viwango vyake! Kwahiyo hapo sijui wanachoshindwa kuelewa ni kipi!
 
Mbona povu la asubuhi, vp kuna demu amekimbia na pesa yako bila kukupa khuma aliyokuhaidi?

Au ni yule demu uliyemuandikia uzi ameshakunyoosha mapema tuu?

😂
Ahahahaha nakuchana bwana acha ubanana zoro
 
Kwanini muishi kijinga namna hii

Akili za mmatumbi wa chini kabisa! Joe can you trade your dignity and worth to another human being?
Twende twende mzee, mm leo nna muda wa kupambana na hizi povu, tuendee mzee 😂

Nasema hv, punguza shobo kwa mwanamke usiyemuweza, utakufa njaa huku demu akinawiri kupitia pesa zako.
 
Kila kona wapo, hata wanaume pia wanazidiana level huwezi ukawa na unayemtaka tu mpaka ufikie viwango vyake! Kwahiyo hapo sijui wanachoshindwa kuelewa ni kipi!
Kuelewa wanaelewa, ila ndo wametokwa kupigwa pesa na demu aliyemuahidi nyapu, sasa bado wana hasira, ndo wanazihamishia humu 😂
 
Kuelewa wanaelewa, ila ndo wametokwa kupigwa pesa na demu aliyemuahidi nyapu, sasa bado wana hasira, ndo wanazihamishia humu 😂
Mambo madogo hayo watakaa sawa tu! Ila ndoivyo sio kila kyumer utaionja kwasababu tu una udoo, add some appetizers 😎
 
Yan kuna group la juma lokole la Instagram linaweza kuwa kimya hata week ukipost tu text unalipia 10k...
But huduma yake Ni uhakika mnooo yan ukishalipia tariff tu huduma ipo mpaka delivery anakufanyia...
At least anatusaidia sisi tunaopenda kuvumbula video vixens
😂😂 Watu na biashara zao...

Sasa mavixen si ndo wanakazwa sana, hamwogopi?

Hebu tulione hilo group!
 
Mwanaume, kama mtoto wa kike ambaye si ndugu yako wala dada yako amekuomba hela, usitoe tu kiholela.

Hakikisha:

1. Una cash mkononi.
2. Yeye ndiye aje kuichukua.
3. Sehemu mnayokutana isiwe na watu wengi.

Usitoe hela kindezi kwa sababu tu umeombwa.

Acha diplomasia kwenye pori la vita. 😄

Wengine wanahitaji kufundishwa kwa vitendo, si kwa maneno matamu.

Kila senti unayotoa iheshimu wewe si shirika la misaada!

Zingatia haki sawa, 50/50, win win situation. Kula nile.
de Gunner njoo utoe povu ili upunguze hasira zako baada ya kupigwa pesa na hujapewa nyapu 😂
 
Back
Top Bottom