Brelim Skoro_
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 15,188
- 37,742
Wanawake wako makini katika kuchagua na kutengeneza Misukule yao.
Sasa nikae nabishana na bichwa oza kama wewe..Twende twende mzee, mm leo nna muda wa kupambana na hizi povu, tuendee mzee 😂
Nasema hv, punguza shobo kwa mwanamke usiyemuweza, utakufa njaa huku demu akinawiri kupitia pesa zako.
Sorry Ni telegram sio Instagram....😂😂 Watu na biashara zao...
Sasa mavixen si ndo wanakazwa sana, hamwogopi?
Hebu tulione hilo group!
Sijaona ulichochana hapo, Zaid tuu unajifariji baada ya kupigwa pesa na hujapewa nyapu 😂Ahahahaha nakuchana bwana acha ubanana zoro
Mwamba apunguze diplomasia hawa viumbe wenzetu wana syndicate inayotushughulikia wanaume ulaloulalo ndio maana kama umegundua tabia zao zinafanana,de Gunner njoo utoe povu ili upunguze hasira zako baada ya kupigwa pesa na hujapewa nyapu 😂
Perfect 100%, They are good at Manipulation, hasa wakishajua unapenda Chini watakuendesha wanavyotakaWanawake wako makini katika kuchagua na kutengeneza Misukule yao.
Af wakikaa wanakuita bwege mtozeniKila mtu ni msukule, kuna demu anakupiga pesa na nyapu yake hutoinusa kamwe.
Viande wanatuma na nyapu hawapewi! Viande waendelee kuwa viandeHapo utaishia kukomesha wanaokuomba wewe, wenzio huku wanatuma baba😎
KmmkSorry Ni telegram sio Instagram....
Sure wanaliwa but issue unakojolea pazuri means hela yako inatembea halali...
Halafu unataka kuliona au kujiunga?
Kama kujiunga Ni 20k..
Kuongea na admini 10k
Unaomba unaemtaka au una selekt utakaemuona halafu lokole anakua mtu Kati Kama PayPal tu😆..(Yan analinda pesa ya mteja na huduma ya mtoaji)
Kabisa! Wasukuma tunasema..Tawire 🤝
Labda utoe hizo pesa iwe kama sadaka na sio kigezo ili umlombe
Kuna mdada mmoja humu jf alilalamika kwenye talking stage ukimuomba mwanaume akukopeshe hela labda elf 20 tu, urafiki unakufa na kukutongoza anaghairi 😁 SeranNa bado hawawaoni wanatukalia kooni, unafkiri kuombwaombwa mchezo! Ukijichekesha tu imo, lakini hicho kigezo kinatupunguzia usumbufu mwingi sana!
Hata ukiwapa hao madogo wanabadili id kurudi tena, bora sisi tunakuomba live😎
Hata jero, every coin counts!!Hapa unazungumzia kuanzia shilingi ngapi za kitanzania🙄
Mangi washakuliza sana punguza diplomasia kwenye uchakataji wa hiki kiungo pendwaSiwez soma hii taarabu
Hata ikiwa ni jero, kila senti ina maana kubwa, ndio maana mmoja anaomba na mwingine anataka "value for money"Maelezo yote haya ukute umeombwa buku teni tu
Kwahiyo ukipewa nyapu kwa eff10 wewe ndio mjanja🫢Viande wanatuma na nyapu hawapewi! Viande waendelee kuwa viande
Ila huyo demu aliyekunyoosha, amebarikiwa kuliko wanawake wote, na aendelee kukunyoosha hv hv mpaka upate akili timamu 😂Sasa nikae nabishana na bichwa oza kama wewe..
Yaani wewe ni sawa sawa na msukule, huna control kabisa. Na sio povu nakupa bali nakufanya uone how immature you are..
Kamwe hauwezi kuta mwanaume mwenye akili timamu anawaza na kuweka wanawake katika makundi kisa makebo na outside beauty. Ni ujuha wa hali ya juu.
Inategemea na una deal na aina gani ya watu ef 20 nayo ni ya kukaa unaomba watu ambao umekutana nao siku mbili😅Kuna mdada mmoja humu jf alilalamika kwenye talking stage ukimuomba mwanaume akukopeshe hela labda elf 20 tu, urafiki unakufa na kukutongoza anaghairi 😁 Seran
Yaani wewe akili huna kabisa na inaonekana ni dogo la juzi kati tu.Sijaona ulichochana hapo, Zaid tuu unajifariji baada ya kupigwa pesa na hujapewa nyapu 😂