Wanawake punguzeni kuomba sana hela, imekuwa kero

Wanawake punguzeni kuomba sana hela, imekuwa kero

Sio kwamba siwaoni vijana wa kiume omba walio jazana kila kona .

Ila taifa leo lina omba omba wanawake , kwa kigezo cha mapenzi zaidi ya wakoma, halafu wanaona ni kawaida tu wala hawana aibu🤔

Na kwa sababu wamekutana na wapumbavu wakuwapa ,hii kitu imepitishwa kama sheria ya dharura, wauzaji wa mbunye wanauza kwa kigezo cha huduma na malafa na viazi wajaa tu gademitt.


Note: sipingi kujaliana kwa mambo madogo dogo kwa hiyari tu .
Basi itungwe Sheria bungeni
 
Kwa karne hii, wadada wafanye tu kazi hakuna namna. Kukaa kusubiri pesa za kina min -me ni kujitafutia aibu tu.

Fanya kazi, hata mtu akikuboost iwe "here and there", sio A to Z, pesa zenyewe wanazo wachache tu.
Yeah na sisi baba wa watoto wa kike tuwatengenezee future nzuri watoto wetu , pale palipo na mwanamke ombaomba kuna baba mpumbavu
 
Na wanaume mafisi wanapita wanakua mbunye seekers kwa kigezo cha hii manipulation ya hawa omba omba wasiojitambua
Kati maneno ya maana unayo ongea leo ndo umenena kwa kweli.. Kumbe pombe zina some sort of awakening kama psychedelics?
 
Aisee we dada si ndo unapaswa kuwaasa wadogo zako waache Kuya monetize mapenzi... Hii inawafanya baadae wawe Masingo mama!
Mimi sipo hapa kurekebisha jamii ambayo tayari ina mapungufu mengi tu.
Matokeo unayoyaona ni malezi yaliyofeli kuanzia chini kabisa.
Wazazi wawape msingi na muendelezo watoto wa kike na kiume.
 
Mimi sipo hapa kurekebisha jamii ambayo tayari ina mapungufu mengi tu.
Matokeo unayoyaona ni malezi yaliyofeli kuanzia chini kabisa.
Wazazi wawape msingi na muendelezo watoto wa kike na kiume.
Sasa kama unayajua haya kwa nini unafanya mzaha katika hili? Kwanini una ongezea kuni moto wenye madhara tayari?
 
Back
Top Bottom