Wanawake punguzeni kuomba sana hela, imekuwa kero
Umaskin na malezi mabaya tu Kuna watu wao wanaona kupewa na kuhongwa hela ni haki yao ya msingi na wao wanaona ni sawa kuwaambia wanaume watafute hela wakati hata wao hizo ela hawana, kila mtu ashinde mechi zake aiseee

umeongea point sana wanawake weng akili zao ni shida sana utasikia tafuta pesa wakati yeye mwenyewe hana ata hiyo pesa
 
Sharti na mti unapoupanda hakikisha unaumwagilia maji ili uweze kumea vyema,
sasa kama wewe unajua wanauza miili yao hilo mimi halinihusu,
Mwanamke anapaswa kulelewa kudekezwa kupewa hela hata bila kuombwa nk,
sasa kama unaona ugumu kutafuta hela halafu unakuja kuanzisha nyuzi wanapenda hela basi fungua kanisa uwe mchungaji wakupe hela full stop

unakosea sana tofautisha mwanamke na Mke..

[emoji735]MWANAMKE hapaswi kuhudumiwa maana anajihudumia mwenyewe kwa mikono yakr na akili yake ndo maana Malaya wengi ni wanawake.

[emoji736]MKE ndo mwanamke unayepaswa kumuhudumia kwa hali na mali usiku na mchana

sasa wewe unahudumia mwanamke ujamuoa[emoji23][emoji23] anakucha anaenda kuhudumiwa milele wewe unabaki unasema bado bado kwanza kuoa[emoji23]

hizo nguvu za kumuhudumia mwanamke zitunze uje umuhudumie MKE wako na sio Mwanamke ambaye sio mali yako
 
ukiombwa ela na mtu unayemjali at the right time unampa tu hakuna shida... kwanza kuna ile feeling ya mwanaume ukiwa unatatua matatizo na ku provide security unajiskia vizuri flan... tumeumbiwa kuwa providers iko hivyo hauwez kimbia uhalisia

hapo unaongea kwa upande wa MKE na sio Mwanamke
 
Back
Top Bottom