Wanawake punguzeni kuomba sana hela, imekuwa kero
Mwanamke ukiona anakuomba sana hela jua hajakupenda ila antaka apate tag kutoka kwako...

mwanamke anaekupenda kwa dhati hawezi kukuomba hela Kila mara kwa sababu zifuatazo.

1. Kutokana na upendo wake wa dhati kwako anaona aibu kukuomba hela hata kama anashida kiasi gani atatafuta namna nyingine ya kutatua shida yake.

2 .kutokana na upendo wake Wa dhati ataogopa kukuomba hela kwa kuhofia kukupoteza maana anajua inaweza kupelekea mwanaume kumuacha.
Hiyo namna nyingine ipi Joseverest ? Au unataka akadange?
 
hiyo Elfu 5 namtumia mama yangu anunue vocha sio Mwanamke ambaye anatumia watu Picha zake za Utupu kwa pesa yangu
Ehe Kuna watu majasili jamani unatumaje pich yako ya utupu mfano tu af zikivuja mtu anajiliza Kama amefiwa na mtoto dah usitume mshikaji
 
Waswahili kwa unafki hamjambo, sio nyie mnaokataa haki sawa, sio nyie mnaosema mwanamke asifanye kazi akae ndani analea watoto, sasa hivi mnakasirika kuombwa hela, tukisema Wanawake watolewe majumbani wakajitafutie mnatuita ma feminist,
Nyie wanaume wa kitanzania mnamkandamiza mwanamke ili muwe mnamsimanga kama hivi.

Aibu iwe juu yenu.

Duh, umeongea kwa uchungu
 
Back
Top Bottom