Wanawake punguzeni kuomba sana hela, imekuwa kero
Shida sio kausha damu, shida ni wao na tamaa zao, kutaka kuishi maisha kuliko uwezo wao, ndio hapo wanapoliwa, mbona kausha damu imekuwa kama mvua tu, wanawake wengi toka kitambo walikuwa wakilika kwa vihela vidogo vidogo, mtu ukimpelekea kilo ya nyama na mchele, anakuwekea mguu bara mguu pwani.
 
Mwanamke ndoto yao kubwa ni kuolewa na kujenga familia

Wanaume wengi sisi ni waongo na hatuna mpngo wa kuoa , sasa wanawake na wao wameamua wasikose vyote, pesa ama ndoa.

Wanachofanya ni sawa kabisa na sisi ndio tumetaka iwe hivyo ,cha muhimu apo tafuta pesa ,malalamiko hayatasaidia tena .
Wewe ni mmoja kati ya wanaume wajinga niliowasema hapo juu.
 
Shida sio kausha damu, shida ni wao na tamaa zao, kutaka kuishi maisha kuliko uwezo wao, ndio hapo wanapoliwa, mbona kausha damu imekuwa kama mvua tu, wanawake wengi toka kitambo walikuwa wakilika kwa vihela vidogo vidogo, mtu ukimpelekea kilo ya nyama na mchele, anakuwekea mguu bara mguu pwani.
Zamani wanawake walikua wanaongozwa na upendo mambo ya kupewa mahitaji na vizawadi vya hapa na pale zilikua kama hamsha hamsha tu za kunogesha mapenzi hawakuchukulia kama ni mambo ya lazima kupewa na boyfriend ila kwa sasa wanawake wameyafanya mapenzi kuwa ajira na wanafikiri kupewa hela na mwanaume ni haki yao ambayo lazima waipate.
 
Wanawake wa sasa wengi wao ni malaya wa kimnya kimnya na haijalishi ni mke wa mtu, dada yako, mama yako, bibi au shangazi zako. Na yote haya ni kupitia hii ndoto yao ya kumchuna mwanaume hadi kumfilisi kwa kisingizio cha kumpa mbususu kama kigezo cha kupata huduma za hapa na pale
 
Unetoa hujalazimishwa, kama huwezi acha tafuta mwingine.

Usiwafananishe wanaotupa uroda na hao vibaka mkuu. Kibaka anakukwapua au hata kukudunga visu bila sababu za msingi.

Umemtongoza wewe ukijua hana kazi na anaishi mwenyewe, unaomba mbususu unasusiwa yote, ukiambiwa utoe pesa unang'aka.

Hutaki muache.
 
Mwaka uishe mapema yote hii
emoji3.png
emoji3.png
emoji3.png
Mwaka
Zamani wanawake walikua wanaongozwa na upendo mambo ya kupewa mahitaji na vizawadi vya hapa na pale zilikua kama hamsha hamsha tu za kunogesha mapenzi hawakuchukulia kama ni mambo ya lazima kupewa na boyfriend ila kwa sasa wanawake wameyafanya mapenzi kuwa ajira na wanafikiri kupewa hela na mwanaume ni haki yao ambayo lazima waipate.
Ukijifanya mgumu utaishia nyetoni kama drone, 😁😁😁
 
Wanawake wa sasa wengi wao ni malaya wa kimnya kimnya na haijalishi ni mke wa mtu, dada yako, mama yako, bibi au shangazi zako. Na yote haya ni kupitia hii ndoto yao ya kumchuna mwanaume hadi kumfilisi kwa kisingizio cha kumpa mbususu kama kigezo cha kupata huduma za hapa na pale
Wakishampukutisha mwana pesa yake ya kubet aliyompiga mhindi wanahamia kwa mwingine sasa huo kama sio umalaya ni nini? halafu midomo mirefu eti mwanamke anatakiwa kuhudumiwa. Yaani malaya anataka apewe huduma za hadhi ya mke, this is total bullshit.
 
Unetoa hujalazimishwa, kama huwezi acha tafuta mwingine.

Usiwafananishe wanaotupa uroda na hao vibaka mkuu. Kibaka anakukwapua au hata kukudunga visu bila sababu za msingi.

Umemtongoza wewe ukijua hana kazi na anaishi mwenyewe, unaomba mbususu unasusiwa yote, ukiambiwa utoe pesa unang'aka.

Hutaki muache.
Sina shida na wanaofanya ukahaba wa moja kwa moja. Kama mwanamke anafanya biashara ya ukahaba awe wazi from the first place. Pale pale anapotongozwa aseme anafanya biashara tukubaliane bei twende geto tukamalizane huduma yake ikinifurahisha nitamtafuta siku nyingine nitakayomhitaji lakini sio kunibebesha jukumu la kumhudumia kisa tumefanya mapenzi. Mwanamke akitaka kufanya biashara ya ukahaba awe wazi afanye biashara yake siku akiishiwa luku, gesi, kodi n.k hayo mimi hayanihusu kwa sababu siku nilimtomba nilimpa hela yake tuliyokubaliana na kama akiamua kuingia kwenye mahusiano ya kimapwnzi basi aakishe anamudu kujihudumia kulingana na life style anayotaka kuishi. Mbususu is not woman's escaping route of her financial responsibilities
 
Back
Top Bottom