Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
Sasa na wewe kwa nini uoe mwanamke asie bikra kama ndio kipaumbele chako? Bikra zenyewe mnaanza kuzitoa toka watoto wakiwa wadogo wengine miaka 10 tayari wahuni washafanya yao na hawaoi wala nini na wengi wenu mnataka mkifika umri wa kuoa mpate wanawake fresh.Kama sio bikira huyo tayari ni malaya sio mwanamke wa heshima
Jiulize kabla ya kumuoa kashachezea mboo ngapi?
Tunapewa wa kufanana nao....
Sent using Jamii Forums mobile app