ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Sasa unawahi nyumbani haraka haraka kwanini!??Hapana
Nimeomba wapi miheZingekuwa hazipo mngekuwa mnadai talaka?
Utasema?Nimeomba wapi mihe
sijaolewa ila ngoj nijaribuUtasema?
Unataka skunky au bush weed. ๐๐๐Hebu nipasie jani nifanye ibada
#:$&-$-3:-_+ GARI
$:-$:$-$-4-4-$+ GARI
$::39#?;โโ%โโข GARI
Kama huna D ya Civics hizi lugha huelewi mkuu Hahah
Ntaanza kutembea taratibuuSasa unawahi nyumbani haraka haraka kwanini!??
Mabwana waoaji tupo nje ya nyumba yenu ww unawahi hme?
kama unawahi namba
Basi tu sijui mapepo๐ ๐ ๐ mana mapepo nayo yako ya aina nyingiUnaharakia nini sasa au mwaliko ๐
Yani mimi mwanamke akitaka aniweze njiani awe na haraka, hata nikimsimamisha aendelee kutembea na haraka zake huwa nampotezea.
Safi sana sasa hivi tunaleta mahaliNtaanza kutembea taratibuu
Si utak ndoa unataka uolewe yanini?sijaolewa ila ngoj nijaribu
KwaniniHapana
Mi nilivoona vile nikajua kabisa kumbe wataalamu wenzangu wapo bana ahahah kuna mwingine ngoja atakuja sasa hiviHahahaha mkuu, hapa kama huna D hzo ni ngumu kutoa code hii
Ishini nasi kwa akili ohooooooo
Bush weed hii ni kwa sisi marasi kwenye ibada inatufaaUnataka skunky au bush weed. ๐๐๐
Itabidi tuyakemee yatoke yatakupishanisha na mwenza wako๐Basi tu sijui mapepo๐ ๐ ๐ mana mapepo nayo yako ya aina nyingi
naona una quote maneno ya dadapoa hukooo,,m nmesema wapiSi utak ndoa unataka uolewe yanini?