Wanawake Punguzeni kutembea haraka mnakosa Mabwana wa maana

Wanawake ifike mahali tembeeni pole pole sometime spidi zenu zinawakosesha Wanaume wa kuwaowa kama huyu mwenzenu

Mwezi uliopita naelekea nyumbani nikapitia njia ya Ferry ile nangia kwenye kivuko nikapaki Gari nikashuka, ile kushuka tu nikamuona binti mmoja ambae alinivutia sana na yeye akawa ananiangalia sna ila kutokana na adabu kwenda kumuongelesha mbele za watu nikaona aibu nikasema ngoja mda wakushuka nitajaribu kumfuatilia japo nlikuwa na Gari nikasema sawa cz ilikuwa mbele ila bado tukawa tunatazamana tu

Ile kushuka tu nikaona watu wa mbele ya kivuko wanakimbia sijui wanakimbilia wapi , na yeye akaunga spidi ikabidi nimfuatilie na gari nikakwama, nimeshuka najaribu kumkimbilia ile spidi nilikwama maana Gari niliiacha huku juu ningeibiwa or ingekamatwa ila yule Binti kakosa Bonge la bwana ila kila la heri kwake huenda mda huu tungekuwa tunapeleka barua kwao kama Tabia zake zingenifurahisha ila wanawake wapo wengi no way

Punguzeni mwendo shauri yenu
[emoji1787][emoji1787]
 
Watu wa Dar wanatembea kama mnyama ngiri,ukitembea kama mbuzi unapigwa vikumbo..angalia abiria wa mbagala,mbezi,tegeta,goms wanavyotembea kama mnyama ngiri au tembea kariakoo kila mtu yuko fasta kama ngiri tu
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanawake ifike mahali tembeeni pole pole sometime spidi zenu zinawakosesha Wanaume wa kuwaowa kama huyu mwenzenu

Mwezi uliopita naelekea nyumbani nikapitia njia ya Ferry ile nangia kwenye kivuko nikapaki Gari nikashuka, ile kushuka tu nikamuona binti mmoja ambae alinivutia sana na yeye akawa ananiangalia sna ila kutokana na adabu kwenda kumuongelesha mbele za watu nikaona aibu nikasema ngoja mda wakushuka nitajaribu kumfuatilia japo nlikuwa na Gari nikasema sawa cz ilikuwa mbele ila bado tukawa tunatazamana tu

Ile kushuka tu nikaona watu wa mbele ya kivuko wanakimbia sijui wanakimbilia wapi , na yeye akaunga spidi ikabidi nimfuatilie na gari nikakwama, nimeshuka najaribu kumkimbilia ile spidi nilikwama maana Gari niliiacha huku juu ningeibiwa or ingekamatwa ila yule Binti kakosa Bonge la bwana ila kila la heri kwake huenda mda huu tungekuwa tunapeleka barua kwao kama Tabia zake zingenifurahisha ila wanawake wapo wengi no way

Punguzeni mwendo shauri yenu
Gari aina gani?? Maana isiwe una IST ndio maana akasepa haraka
 
Hahaha umenikumbusha mbali mzee ilishanitokea hiyo enzi hizo za utoto nilifukuzia lakini kwa hiyo speed ya huyo mrembo nilichoka maana mtoto alikuwa anapepea kama ngiri
 
[emoji1787]
 
Ngiri Maji
 
Back
Top Bottom