Wanawake sasa wanavaa vitaiti vya kuvaa ndani ya nguo

Zinaitwa biker short.......na hawavai vyupi ndani aibu kweli kweli
 
Mimi nawapenda wale ambao ndani wanajiachia tuu.. Hawavai tena zile
 
Heshima ni Pesa tu,
Hata ukivaa majani ya Mgomba ukiwa na Pesa watu wataona umevaa Balenciaga.
 
zamani nlikua naona mwanamke yoyote anapofanya kitu ambacho mama yangu hafanyi ni makosa
Hivyo nlidhani hawatakiwi kuvaa skin/bukta au hata heleni zile kuuubwa😁😁😁
Au kupaka wanja na makolokolo yoote kumbe mama hakua anafanya sababu tu hapendi mbali na ulokole wake
Kumbe ulikua utoto tu ila still sipendi hata kidogo mwanamke akivaa /bukta na sulual
Mbali na visket vile vinabaaaana hadi chupi nje
Napenda avae gauni na sketi hata kama sio ndeeefu ila iwe normally bomba
Au magaun hiv yakumuweka good ki shape ya kike


Wanapendezaa
 
Nimesoma comment, naona kwa sisi wanawake kuvaa nusu uchi wanaume ndiyo sababu,

Mwanaume unafrahi kumuona mkeo kavaa vibukta na anapita kutembea barabarani
Ndio tunapenda....sii ndio wanapendezesha dunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…