Wanawake shida yenu nini mpaka mkiona mtu ana gari mnababaika?

Kuna wakuu humu wanaweza sema hii ni 🍵 lakini sisi tunaimiliki Passo na IST tunajua urahisi wa kukamata hawa viumbe🤗kupitia magari
 
Mi ndio na bahati mbaya kila nikienda bar nikataka kung'oa mali mara nyingi zinaniambia twende tukaongelee kwenye gari yako .Nabaki kusema tu kimoyo moyo hiiii hiiii.Naishia kuzuga zuga parking mpaka mali zinapepea.
 
Kuna siku nilienda Rudy's Farm aisee kuna manzi mdogo mdogo alikua na bimkubwa wake..ila alikua anasukuma Range Rover Evoque...
 
Kuna siku nilienda Rudy's Farm aisee kuna manzi mdogo mdogo alikua na bimkubwa wake..ila alikua anasukuma Range Rover Evoque...
huyu mwaisa haelewi lolote aisee yaani harrier kaona gari kabisa yakuchachafya watu wa maana,
unafika mahali hata kama una gali unaamua kusema umekuja na uber😂😂😂
 
huyu mwaisa haelewi lolote aisee yaani harrier kaona gari kabisa yakuchachafya watu wa maana,
unafika mahali hata kama una gali unaamua kusema umekuja na uber😂😂😂
Mbona umepanic mwaisa!!?
Hakuna sehemu nimesema kwamba harrier ndiyo gari kali kuliko zote.

Mimi nimesema tu aina ya gari niliyovimba nayo siku hiyo. Kama ningetaja vitz au subaru sidhani kama ungotema cheche hizo mzee baba. Take it easy man.....
 
Tena me binafsi nimeanza drive gari yangu mwenyewe kwa pesa yangu mwenyewe toka niko Early 20’s mnakutana na wenye njaa huko mnataka generalize wanawake wote.
Amekosea sana kujumuisha wote, heri angesema baadhi, tena ambao ni wachache sana na ambao hawajapevuka fikra
 

Hadi umewala goti speed ya 5G

Sasa kama mimi niliyeanza kuendesha mindinga mikali ya familia, na sasa ninamiliki za kutosha utanibabaisha kweli?

By the way hata wanaume yanashoboka sana na madada wenye ndinga acheni kujisifia[emoji57][emoji57]
 
Hata kama ila ni wazuri wale mamanzi achaaa. Sikuwapa kitu kilichonishangaza ni kwamba eti walilidhika na gari tu aisee. Nikawapiga mkwara tukienda dodoma mtafurahi zaidi wanakenua kenua meno tu.
Hao walikuwa na genye kawaida tu hiyo....uliwapunguzia wazungu
 
Mmoja kati ya mia lakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…