Wanawake shida yenu nini mpaka mkiona mtu ana gari mnababaika?

Wanawake shida yenu nini mpaka mkiona mtu ana gari mnababaika?

Mwe Mughonileeeeee(Mtaelewa tu, mbona amapiano mnasikikiza).

Jana bwana nimetulia pale maeneo ninayoishi ghafla nikapokea simu toka kwa mshaji wangu ambaye tunaiva ile kinazi akiniambia muda si mrefu atapiga hapa kwangu na gari yake ataiacha hapa maana watu anaotakiwa kuonana nao hawatakiwi kujua kama mchizi ana gari (Harrier nyeusi, huku kwetu tunaziita Python maana ukiziangalia zinakuita).

Basi bwana jamaa akafika nakuliacha gari pale nilipopanga na uzuri majirani hawakuwepo hivyo walivyokuja wakalikuta na kwa mikwara zaidi nikafungua buti kule nyuma nikakaa kwa ndani huku nimefungulia bonge la mziki (niliplay ngoma moja kali sana ya T.I - What You Know). Wakabaki wanatoatoa macho tu mimi naminya minya zangu simu maana bando liko full mpaka data ilikuwa inajiwasha yenyewe.

Ghafla bin vuu nikapata wazo la kwenda na ile ndinga kwenye car wash moja hivi wana bar moja kali sana pale, pia hiyo car wash iko mkabala na chuo kimoja kikubwa sana hapa town.

Ile naingia tu nakuta kundi kubwa la madem pale na waliniona ninavyoshuka kwenye Harrier, walikuwa wanakunywa lite zao huku wakipiga stori za cozwek nikajua tu hawa ni wanachuo wa chuo X na ni wamoto hatari kuanzia mavazi mpaka shape.

Basi mtaalam nikatimba pale sina stori na mtu kwanza nikaagiza carton mbili za heineken (Mimi na heineken wapi na wapi? Mimi zangu ni K-Vant na konyagi sana sana nikikosaga hizo basi naruka na bingwa kadhaa. Nilifanya hivyo ili tu niwatoe wenge hawa maslay queen). Na kweli niliwatoa wenge maana macho yote yakahamia kwangu, vi lite vyenyewe wanalamba lamba tu kidogo ili visiishe haraka na wakicheki huku mjuba nina carton mbili za heineken.

Sikuwapa hata muda wa kupumzika mammaaeee nikaita mtu wa jikoni fasta ikaja kitimoto gafla kilo moja na nusu. Mmoja wao kati ya wale madem uzalendo ukamshinda akajifanya anaenda washroom njia iko kuleee ila akapita pembeni ya meza yangu na mtako wake mimi namcheki tu kiwizi wizi anavyoutingisha ili nimuone.

Picha linaanza wakati anarudi. Akasimama mbele yangu na kunisalimia "mambo" .. nikamjibu safi habari yako!!? Akasema I'm good(na vingereza vyao vya kislay slay).

Mara oooh would you mind if we join your table? Nikamwambia no but some of you..... Akarudisha tena swali kwangu.... Yupi na yupi.? Hapo sasa simba nikapewa uwanja wa kuchagua swala... Nikawachagua wawili toka kwenye lile group na yeye pia jumla wakawa watatu.

Nikawaambia malizieni hizo heineken nikaitisha tena kilo mbili za kitomoto nikawaambia mkimaliza tuhame kiwanja twende sehem nzuri zaidi wakasema poa.

Wamemaliza nikawakokota mpaka kwenye harrier(kama yangu vile kumbe walaa kidume navimba tu).

Kufupisha huu mkasa tuliishia kupiga sijui ndiyo wanaita threesome au kitu gani. Niliwakung'uta wote watatu tukiwa humo humo chumbani, niliwapiga bao moja moja ila wa mwisho ndiyo alikoma maana bao lilikuwa halitoki.

Nikaagana nao bila kuwapa hata sh mia. Nikawasha gari nduki nikamtumia mesej yule aliyenifata mara ya kwanza kuwa nitawacheki weekend ijayo niwapekeke dodoma wakaone mji mpya akasema tutafurahi sana dear.

Lakini hii yote ni nguvu ya gari tu. Wanawake kwani hamutajui magari?

Kipi kinafanya mtu akiwa na gari unamuona kama Mungu mtu?

Mbona sisi wanawake wenye magari hatuwashibokei ila nyie ndiyo viherehere mnayajua sana magari.

Nimewalamba wote watatu chumba kimoja humo humo kisa gari. Na walikuwa wanafanya kila nilichowaambia (usiulize niliwafanyaje)
Kuna wakuu humu wanaweza sema hii ni 🍵 lakini sisi tunaimiliki Passo na IST tunajua urahisi wa kukamata hawa viumbe🤗kupitia magari
 
Mi ndio na bahati mbaya kila nikienda bar nikataka kung'oa mali mara nyingi zinaniambia twende tukaongelee kwenye gari yako .Nabaki kusema tu kimoyo moyo hiiii hiiii.Naishia kuzuga zuga parking mpaka mali zinapepea.
 
Amini mwaisa kuna viwanja mademu wanakuja na gari nikikuambia tafuta gari ya kuanzia 2017 kushuka chini ukiipata hiyo jackpot kwako, na ukiikuta ni wana tu wamepotea viwanja sio vyakwao tu.
nisawa na uende kitambaa cheupe useme umeopoa demu kweli mwaisa? 😀 😀 😀 😀 😀
Kuna siku nilienda Rudy's Farm aisee kuna manzi mdogo mdogo alikua na bimkubwa wake..ila alikua anasukuma Range Rover Evoque...
 
Kuna siku nilienda Rudy's Farm aisee kuna manzi mdogo mdogo alikua na bimkubwa wake..ila alikua anasukuma Range Rover Evoque...
huyu mwaisa haelewi lolote aisee yaani harrier kaona gari kabisa yakuchachafya watu wa maana,
unafika mahali hata kama una gali unaamua kusema umekuja na uber😂😂😂
 
huyu mwaisa haelewi lolote aisee yaani harrier kaona gari kabisa yakuchachafya watu wa maana,
unafika mahali hata kama una gali unaamua kusema umekuja na uber😂😂😂
Mbona umepanic mwaisa!!?
Hakuna sehemu nimesema kwamba harrier ndiyo gari kali kuliko zote.

Mimi nimesema tu aina ya gari niliyovimba nayo siku hiyo. Kama ningetaja vitz au subaru sidhani kama ungotema cheche hizo mzee baba. Take it easy man.....
 
Tena me binafsi nimeanza drive gari yangu mwenyewe kwa pesa yangu mwenyewe toka niko Early 20’s mnakutana na wenye njaa huko mnataka generalize wanawake wote.
Amekosea sana kujumuisha wote, heri angesema baadhi, tena ambao ni wachache sana na ambao hawajapevuka fikra
 
Mwe Mughonileeeeee(Mtaelewa tu, mbona amapiano mnasikikiza).

Jana bwana nimetulia pale maeneo ninayoishi ghafla nikapokea simu toka kwa mshaji wangu ambaye tunaiva ile kinazi akiniambia muda si mrefu atapiga hapa kwangu na gari yake ataiacha hapa maana watu anaotakiwa kuonana nao

Hadi umewala goti speed ya 5G

Sasa kama mimi niliyeanza kuendesha mindinga mikali ya familia, na sasa ninamiliki za kutosha utanibabaisha kweli?

By the way hata wanaume yanashoboka sana na madada wenye ndinga acheni kujisifia[emoji57][emoji57]
 
Hata kama ila ni wazuri wale mamanzi achaaa. Sikuwapa kitu kilichonishangaza ni kwamba eti walilidhika na gari tu aisee. Nikawapiga mkwara tukienda dodoma mtafurahi zaidi wanakenua kenua meno tu.
Hao walikuwa na genye kawaida tu hiyo....uliwapunguzia wazungu
 
Hahahahahah kummmmk[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hadi umewala goti speed ya 5G

Sasa kama mimi niliyeanza kuendesha mindinga mikali ya familia, na sasa ninamiliki za kutosha utanibabaisha kweli?

By the way hata wanaume yanashoboka sana na madada wenye ndinga acheni kujisifia[emoji57][emoji57]
Mmoja kati ya mia lakini
 
Back
Top Bottom