Wanawake si wabinafsi kama wanaume mnavyotuchukulia, huwa tunawaza msiyo ya waza

Mkuu unaelewa maana ya ubinafsi lakini ??
 
Muache kujifanya miungu watu pesa zenu mnatia kwapani mke hajui unapokea shngapi na humshirikishi kwenye mambo yako we ni kuacha tuu ela asubuhi bas unaona umemaliza
Kama mkitufanya tuone chakwako chakwangu wala hakutakuwa na ubinafsi

Tabia ya kuanza kujenga hata mke hana taarifa
Tabia ya kusema nyumba yangu kisa mke kaikuta
Tabia ya kuanzisha biashara kimya kimya
Mnatufanya tuwe wabinafsi tutaman nasisi kujenga nyumba afu tuwapangishe tule kodi za waume zetu.

Kipindi flani wakati naishi kwa Dada ake mama tulikaa kikao ktk maelezo bamkubwa akatamka akaniambia " wewe hapa upo kwa bamkubwa sio mamkubwa upo kwangu Mimi ndio kila kitu hata uko nje ukiulizwa unaishi nanani unajibu kwa bamkubwa sio mamkubwa".
Sasa kwa kauli kama hizi unaona kabsaaa mwanamke anatiwa roho ya ubinafsi.

Ukiwa kwenye ndoa nyeusi lazma ujiongeze ukizubaa wanasemaga hakuja na kitu amevikuta
 
Sio hawa wa sasa hivi, kuanzia 1978, hawa ni wabinafsi balaa, hata ile kauli mbiu eti ukimsomesha mwanamke unesomesha ulinwengu haitumiki Kwa hawa.
Mara ngapi mnatuacha nyumbani tunakula ugali na kachumbari sisi na watoto nyiinyi mkila nyama choma?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mara ngapi mnatuacha nyumbani tunakula ugali na kachumbari sisi na watoto nyiinyi mkila nyama choma?
Wee ke'' mnawalish watoto pilipili, hela bwena mnazopewa mnapeleka vikobani! watoto kula vizuri ni hadi baba aende buchani au sokoni mwenyewe! kwa nini asile hela yake na kaisotea shule!
 
Unataka ule nyama choma na mimi mtafutaji? Ww kula ugali na kachumbari mi nile choma nyama
Mara ngapi mnatuacha nyumbani tunakula ugali na kachumbari sisi na watoto nyiinyi mkila nyama choma?
 
unaona ni sawa pesa yako kutumika katika matumizi ya familia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa itakuje nyumba yako wakati ni kweli umeikuta?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huyo ndio mwanamke bana
unakuta wewe hauulizi kitu chochote kuhusu mshahara wake kumbe mshahara wake unatumika kumfungulia biashara mchepuko na bado hela ya matumizi unampa.huyo ndo mwanamke bwana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe unahitaji attention mwanaume anahitaji pussy mtaelewana tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…