Duke Tachez
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 5,461
- 4,172
habari gani za kike?Najitahidi sana kumuelewa mke wangu japo kwa mbinde, wakati wewe unafikiria mambo magumu yeye anakuletea habari za kike...
Sent using Jamii Forums mobile app
"Men are from MARS,women are from VENUS" By John Gray,hiki kitabu kiliandikwa mwaka 1992,mimi niseme hivi vitabu huwa vina maana nzuri na vina make sense kwa jamii zilizoendelea na kustaarabika sana.Ila sio kwa wanawake wa ki-afrika hasa wakitanzania...Wanawake tumetoka sayari ya Zuhura (Venus), hata mawazo yetu yako ki Zuhura tofauti inaanzia hapo. Mwanaume anawaza mambo makubwa lakini anasahau kuwa haya madogo yakikosekana tofauti itaonekana.
Mwanaume atanunua kiwanja, atajenga nyumba lakini hafahamu kuwa deco ndani ya nyumba ni muhimu na inafanya nyumba kuwa nyumbani. Wanawake wengi deco na upambaji viko kwenye damu zetu. Huwezi kukaa kwenye nyumba ambayo haijapambwa.
Mwanaume atalipa Ada ya mtoto milioni tano, atampa mtoto nauli ya kwenda shule na elfu ishirini ya kujikimu. Mama anafahamu kuwa kijana wake amefikia umri wa balehe na anajua Kuna style ya mavazi anayoipenda ili aendane na vijana wenzake. Mama atatoa laki mbili pasi Baba kufahamu kijana anakwenda chimbo kutafuta viwalo.
ili tuweze kuishi pamoja katika sayari dunia inabidi tuwe wawazi na tuelewane. Tunahitajiana katika maisha ya kila siku.
na nyie wanawake mnataka wanaume wawe na mitazamo ya kike wakati wao sio wanawake!Umeongea binge La point
yaani wanaume wanataka mwanamke sense kwenye mstari kama anavyotaka yeye na kusahau kabisa kwamba mwanamke siyo mwanaume!
Hakika huyo ndio mwanamke! Anakusanya dough ndefu ila anaiwaza hela yako kila kukicha. Hujui hela yake inapoishia maana hata chumvi ikiisha anakusikilizia wewe.unakuta wewe hauulizi kitu chochote kuhusu mshahara wake kumbe mshahara wake unatumika kumfungulia biashara mchepuko na bado hela ya matumizi unampa.huyo ndo mwanamke bwana
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
nimecheka aseee....
na kweli maana hata umbea au kupiga jungu kuna nature ya specific details
Nyinyi mnaoa sura hamuoi wife material. Kuna dada mume wake alipoteza kazi kwa miaka mitano waliishi kwa mshahara wa mke.
Mke akipata mshahara wanakaa na mume wake wana panga matumizi. Na mama anaachiwa ya mafuta ya gari pamoja na saloon.
Ndoa haiendeshwi kwa principle za kusoma kwenye vitabu.nikweli mkuu father is a foundation and mother is a head of the family.
love and sex haiwez kuimarisha ndoa bali hekima,uelewa,usikivu na maarifa unakuta huna hata kitabu cha masuala ya familia au ndoa ndio maana career zetu na magari yanadumu coz umesotea zote.
maarifa nikitu muhimu sana.
Rita poulsen wa Bongo Shobo Sana BSS
Yah
kuna case moja mwanamke kamleta mchepuko nyumbani kwenye kitanda anacholala na mume wake.huyo ndo mwanamke bwana. sitokuja kuoa never everHakika huyo ndio mwanamke! Anakusanya dough ndefu ila anaiwaza hela yako kila kukicha. Hujui hela yake inapoishia maana hata chumvi ikiisha anakusikilizia wewe.
Huyo hakua mke Bali changu doakuna case moja mwanamke kamleta mchepuko nyumbani kwenye kitanda anacholala na mume wake.huyo ndo mwanamke bwana. sitokuja kuoa never ever
Sent using Jamii Forums mobile app
Hio ni zaidi ya dharau kmmmkekuna case moja mwanamke kamleta mchepuko nyumbani kwenye kitanda anacholala na mume wake.huyo ndo mwanamke bwana. sitokuja kuoa never ever
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi na ile ya kutolea unajisahaulisha hizo msg zenu??Wanawake tumetoka sayari ya Zuhura (Venus), hata mawazo yetu yako ki Zuhura tofauti inaanzia hapo. Mwanaume anawaza mambo makubwa lakini anasahau kuwa haya madogo yakikosekana tofauti itaonekana.
Mwanaume atanunua kiwanja, atajenga nyumba lakini hafahamu kuwa deco ndani ya nyumba ni muhimu na inafanya nyumba kuwa nyumbani. Wanawake wengi deco na upambaji viko kwenye damu zetu. Huwezi kukaa kwenye nyumba ambayo haijapambwa.
Mwanaume atalipa Ada ya mtoto milioni tano, atampa mtoto nauli ya kwenda shule na elfu ishirini ya kujikimu. Mama anafahamu kuwa kijana wake amefikia umri wa balehe na anajua Kuna style ya mavazi anayoipenda ili aendane na vijana wenzake. Mama atatoa laki mbili pasi Baba kufahamu kijana anakwenda chimbo kutafuta viwalo.
ili tuweze kuishi pamoja katika sayari dunia inabidi tuwe wawazi na tuelewane. Tunahitajiana katika maisha ya kila siku.
Wanawake tumetoka sayari ya Zuhura (Venus), hata mawazo yetu yako ki Zuhura tofauti inaanzia hapo. Mwanaume anawaza mambo makubwa lakini anasahau kuwa haya madogo yakikosekana tofauti itaonekana.