Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,104
- 29,178
Ndo maana Nakupenda uncle
Uncle imeisha hiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uncle imeisha hiyo
Wewe tuNdo maana Nakupenda uncle
NomaSawa. Huoni ukilipwa na yeye atakuja na madai kama yako pale unapolipa?
🤣🤣🤣🤣Hako kamfumo ka "mizinga mamboleo" yani "neo-balisticsm" 😀😀😀 kanatuumiza sana wahuni sema ndio maisha tu.
Nenda kasome uzi ule wa jamàa aliemuacha single mother ukimaliza soma na huu Jinsi jinamizi la mafanikio kiuchumi lilivyomfanya mke wangu kuwa kiburi, jeuri na hatimae ndoa kuvunjika kisa tamaa ya maliKumpa utampa wewe lakini mwanamke anayekupenda kweli hawawezi kukuomba Hela hovyo, tena hata hicho unachompa anaweza akawa mtunzaji wako na badaye unakwama anakupatia
Ningekuita pimbi ila basi tu mana huelewi ninachomaanisha hapo isikute nabishana na watoto wenye balehe.Nenda kasome uzi ule wa jamàa aliemuacha single mother ukimaliza soma na huu Jinsi jinamizi la mafanikio kiuchumi lilivyomfanya mke wangu kuwa kiburi, jeuri na hatimae ndoa kuvunjika kisa tamaa ya mali
Soma uzi nilikwambia usome kwanza sio unalopoka km umeshikwa kengele soma huo uzi niliokupa hapo maana kenge hasikii mpaka masikio yatoke damu, mwanamke anaekupenda umeambiwa mama yako huyo ?Ningekuita pimbi ila basi tu mana huelewi ninachomaanisha hapo isikute nabishana na watoto wenye balehe.
Tafuta maana halisi ya mwanamke anayekupenda na si pis kali inayokuvulia chupi ukahisi ndiyo kupendwa.
Ni utoto unakusumbua tu ukikuwa utaacha,Soma uzi nilikwambia usome kwanza sio unalopoka km umeshikwa kengele soma huo uzi niliokupa hapo maana kenge hasikii mpaka masikio yatoke damu, mwanamke anaekupenda umeambiwa mama yako huyo ?
Soma huu uzi niliokupa usome unajua mwanamke anapenda Nini wewe au kujifanya kujua?Ni utoto unakusumbua tu ukikuwa utaacha,
Hata baba Yako angekuwa na akili kama zako hata huyo wa kumwita mama usingekuwa naye.
Hivi The Icebreaker hela yako utanitumia lini Ili iwe yangu...maana sikuelewi kiukweli
PeterrabbitLovie Lady unapenda expensive life au good life? mshamba_hachekwi njoo
🤣👋Are you married? Or ur still looking for special one
Jibu swali
wadada wengi wa dar ni nichakate nikale
Hapo sasa dada nisaidiee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mtu aliwahi nambia "unavyopenda hela wewe utadhani ulizaliwa bank"
Hela ya kupewaa na bae tamuu, afu uwe Una muelewa sasa?? Kuna ka feelings ka pesa na upendo wa kweli vinakutanaa.
imagine [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Muhimu Pesa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanawake mnatuvuruga kabisa, uzoefu unaonyesha anaetoa pesa Mara nyingi Ana umri mkubwa, Ana kitambi, sura sio ya kuvutia infact pesa na mvuto ni inversely proportional! Na hii ni applicable kote yani kwa sugar daddies na sugar mamies, Sasa niambie unaanzaje kuvutiwa na kitu kina features Kama hizo??
Ni Mara chache pesa zikakaa kwa kijana ambaye yuko young, dumb and hancham! Labda karithishwa same to woman!
braza umeongea kweli,lakini umesahau kwamba,pamoja na nguruwe kuwa nasura mbaya,kitambi mdebwedo,na miguu mifupi kamapingili za miwa,lakini nyama yake inapendwa balaa,ata wale jamaa wasiomla,baadhi yao wanamla kwa siri sana ingawa wanajua ni dhambi,,,,ndo manake hawaja jamaa na mijimama wenye vitambi sura mbaya lakini ela ipo,,,,huwa madem au vijana wanawadanganya kwamba "babie,tusiende sehemu sa watu wengi naogopa utaibiwa,wewe lipia chumba 2kanyanduane tu,mimi sitaki bia walachakula,mimi nakutaka wewe tu ukaninyandue,chukua chumba bhanaaaaaaaaaaaaaaa!!! [kumbe wanaona aibu}...the same kiti moto au nguruwe anavoliwa kwa siri na wale jamaa wanaomla ingawa wanajua ni haram na imekatazwa.Wanawake mnatuvuruga kabisa, uzoefu unaonyesha anaetoa pesa Mara nyingi Ana umri mkubwa, Ana kitambi, sura sio ya kuvutia infact pesa na mvuto ni inversely proportional! Na hii ni applicable kote yani kwa sugar daddies na sugar mamies, Sasa niambie unaanzaje kuvutiwa na kitu kina features Kama hizo??
Ni Mara chache pesa zikakaa kwa kijana ambaye yuko young, dumb and hancham! Labda karithishwa same to woman!
Muhimu Pesa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]