Wanawake siku hizi wanapenda hela kuliko kuridhishwa

Wanawake siku hizi wanapenda hela kuliko kuridhishwa

Munch wa annabelletz47

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2019
Posts
1,885
Reaction score
3,227
Katika harakati zangu za moja na mbili na utafiti mchwara niliofanya bila kufata vigezo vya kisayansi na kiutaratibu wa utafiti wowote ule nimeweza kugundua yafuatayo;

~ Wanawake wengi hawana mapenzi ya kweli kabsa.

~ Wanawake wengi wanaingia kwenye mapenzi na mwanaume au wanaume ili kujikwamua kiuchumi.

~ Wanawake wengi wanatichukulia wanaume kama gari la mshara.

~ Siku hizi hawajali wala hawataki habari za kiridhishwa wala kufikishwa kileleni, hela yako ndio nguvu za kiume.

~ Inchi 6 au 7 sio dili tena, wanaume tutafute hela tuache kushinda gym maana hela ndio six pack sasa hivi, usijichoshe na mivyuma.

Ukiwa na hela hutosikia ukiitwa kibamia hata mkiichana kwa muda, maana wanakauli yao siku hizi inasema "Mwenye hela hanyimwi utamu hata kama mmeachana!"

USHAURI: Wanaume wenzangu hawa wanawake tuwachakate tu, tusiwaoe, hawana shukrani.
 
Katika harakati zangu za moja na mbili na utafiti mchwara niliofanya bila kufata vigezo vya kisayansi na kiutaratibu wa utafiti wowote ule nimeweza kugundua yafuatayo....
Aisee "mwenye hela anyimwi utami ata kama mmeachana" kwa kwwli tuzisake kumbe yule ex wangu naweza kwenda mchaka siku nikiwa na mihela
 
Back
Top Bottom