Wanawake siku hizi wanapenda hela kuliko kuridhishwa

Wanawake siku hizi wanapenda hela kuliko kuridhishwa

FB_IMG_16850393807410644.jpg
 
Katika harakati zangu za moja na mbili na utafiti mchwara niliofanya bila kufata vigezo vya kisayansi na kiutaratibu wa utafiti wowote ule nimeweza kugundua yafuatayo;

Wanawake wengi hawana mapenzi ya kweli kabsa.

Wanawake wengi wanaingia kwenye mapenzi na Mwanaume au wanaume ili kujikwamua kiuchumi.

Wanawake wengi wanatichukulia wanaume kama gari la mshara.

Siku hizi hawajali wala hawataki habari za kiridhishwa wala kufikishwa kileleni, hela yako ndo nguvu za kiume.

Inchi 6 au 7 sio dili tena wanaume tutafute hela tuache kushinda gym maana hela ndo six pack sasa hivi usijichoshe na mivyuma.

Ukiwa na hela utosikia ukiitwa kibamia hata mkiichana kwa muda maana wanakauli yao siku hizi inasema " wenye hela anyimwi utamu hata kama mmeachana"

USHAURI: WANAUME WEZANGU HAWA WANAWAKE TUWACHAKATE TU KUOA TUSIWAOE WAHANA SHUKURANI
Kiume Pesa Kudinda Ugonjwa!
 
Back
Top Bottom