Wanawake Singida wamshukuru Samia Kwa "Cha Asubuhi"

Kama huyo Mama yenu mpuudhi mwingine uliyesema anafurahi kuwaona wanawake wa singida wanameremeta sijui wanangaa Kwa sababu wanaoga sana kwani hakuna shida ya maji ndio wamemjibu sasa na pia cha saa kumina moja wanapata mijitu imeshindwa kuzuiwa bilion 75 zisiliwe inajiongeleshaga ujinga tu
 
🤣🤣🤣🤣 mama wa watu kasema ukweli!
🤣🤣🤣🤣
 
Bora isingekuwa mahomeboy dangisi ingekuwa hata kusini au kagera huko duh nitaificha wapi sura yangu tumeonyesha unyanga mtupu


Na wewe homeboy unaamini huyo ni Mama wa Singida?

Ziara ya Mheshimiwa imefanyika Singida huku tayari hiyo clip ipo kitambo, haihusiani kabisa na hii ziara, wametubambikizia tu.

Amucha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…