MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
[emoji3526][emoji3526][emoji3526]
Si kwa utumbo ninaoandikagaπTop 5 yangu
1 jamaa fulani anajiita Upepo wa Pesa
Huyu Kaka I'd yake huwa inanivutia na anaendana na I'd Yake..Ni mtafutaji
2 Namuweka Lizarazu.
Huyu Kaka yangu sometimes namuona Kama comedian fulani ila huwa anaongea ukweli japo Ni mkali Sana.
3 reyzzap
Yaani nikiiona hii I'd imechangia sehemu huwa nacheka kwanza kabla sijasoma alichokiandika
4 Viatu vya samaki.
Licha ya ukorofi wake mwingi , huyu jamaa huwa anaandika fact Kwenye michango Yake mingi
5namuweka KENZY
Huyu naye huwa ananifanya nicheke sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo huo utumbo huwa unanifanya nicheke sanaSi kwa utumbo ninaoandikaga[emoji23]
Jukwaa naloliheshimu ni jamii intelligence,uchumi na biashara,afya namengine kwa mbali!!
Huko kwenye habari mchanganyiko huwa nami nachanganyikiwa hivyohivyo[emoji23]
Asante Shadeeya na wala hujachelewa ujueπ€ͺSesten Zakazaka zuri sana hili jina la huyu mzee mwenzangu yaani kuna kipindi alifanya hadi nikatamani na mimi nijiite Shadeeya Zakazaka. π€£π€£π€£π€£
Mana nililipenda tu hilo jina.
Huyo namba tatu mi mwenyewe ananifurahishaga sana na comments zake, usipomtaja huyo kaka yako siku yako haikamiliki?Top 5 yangu
1 jamaa fulani anajiita Upepo wa Pesa
Huyu Kaka I'd yake huwa inanivutia na anaendana na I'd Yake..Ni mtafutaji
2 Namuweka Lizarazu.
Huyu Kaka yangu sometimes namuona Kama comedian fulani ila huwa anaongea ukweli japo Ni mkali Sana.
3 reyzzap
Yaani nikiiona hii I'd imechangia sehemu huwa nacheka kwanza kabla sijasoma alichokiandika
4 Viatu vya samaki.
Licha ya ukorofi wake mwingi , huyu jamaa huwa anaandika fact Kwenye michango Yake mingi
5namuweka KENZY
Huyu naye huwa ananifanya nicheke sana
Sent using Jamii Forums mobile app
π π π hivyo wasema sijachelewa eee?Asante Shadeeya na wala hujachelewa ujueπ€ͺ
Tena ngoja nikwambie mamii, huyu Zakazaka alikua ni beki kisiki wa kati wa timu ya Taifa ya Malawi akicheza kati sanjari kabisa na aliyewahi kua kocha wenu Wananchi na pia Prisons ya Mbeya Jack Lloyd Chamangwana. Penda jina lake na mpende mwenyewe wala usipepeseπ€ͺπ€ͺπ€ͺ
Yaani tena huu ndio wakati wenyewe kabisaaaππππ€ͺπ€ͺπ€ͺππππ π π hivyo wasema sijachelewa eee?
NAJUA WAJUA SES. ππ
Hahahahaaa. LolYaani tena huu ndio wakati wenyewe kabisaaaππππ€ͺπ€ͺπ€ͺπππ
Halafu tena na hilo jina "Shadeeya" nikiliskia mie hoooi kabisa Wallahπ. Sijui lina siri ganiπ π π hivyo wasema sijachelewa eee?
NAJUA WAJUA SES. ππ
Hahahahaa!!! Mie hata thijui. ππI
Halafu tena na hilo jina "Shadeeya" nikiliskia mie hoooi kabisa Wallahπ. Sijui lina siri gani
Ndio majina ya Kipwani hayo, utadhani yametiwa hiliki na mdalasini, yaani sharti yananukiaaa kama asmini, waijua asmini Shadeeya?Hahahahaa!!! Mie hata thijui. ππ
Hahahaa!! Sijakuchekesha basi siku moja napita sehemu nasikia mtu anaita Shadeeya niligeuka baadae nakuja gundua sio mimi nilishushukaje. π π π πNdio majina ya Kipwani hayo, utadhani yametiwa hiliki na mdalasini, yaani sharti yananukiaaa kama asmini, waijua asmini Shadeeya?
Si unaona sasa? Pengine wala hakuwepo Shadeeya mwingine zaidi yako, sema ni ile harufu nzuri ya jina lako na wewe mwenyewe umbo lako lilivyo "Mashaallah" basi mtu akajikuta anaita tu SHADEEYAπ€ͺπ€ͺπ€ͺHahahaa!! Sijakuchekesha basi siku moja napita sehemu nasikia mtu anaita Shadeeya niligeuka kwa kasi ya ajabu baadae nakuja gundua sio mimi nilishushukaje. π π π π
Nalijua asumin ndio. Lanukia hasaa.
Ngoja nikacheke kwanza Ses. π π π π πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈSi unaona sasa? Pengine wala hakuwepo Shadeeya mwingine zaidi yako, sema ni ile harufu nzuri ya jina lako na wewe mwenyewe umbo lako lilivyo "Mashaallah" basi mtu akajikuta anaita tu SHADEEYAπ€ͺπ€ͺπ€ͺ
Wala usingefadhaika mamii ni sifa kubwa sana hiyo
Lizarazu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo namba tatu mi mwenyewe ananifurahishaga sana na comments zake, usipomtaja huyo kaka yako siku yako haikamiliki?
Sent using Jamii Forums mobile app
Cheka mamii, cheka. Kuna watu wamejaaliwa jamani. Kuanzia jina, na yeye mwenyewe hadi tabia vyote ni dhahabu tupuπNgoja nikacheke kwanza Ses. π π π π πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ