Wanawake tajeni top 10 ya I'd za kiume zenye majina mazuri...

Wanawake tajeni top 10 ya I'd za kiume zenye majina mazuri...

Top 5 yangu
1 jamaa fulani anajiita Upepo wa Pesa
Huyu Kaka I'd yake huwa inanivutia na anaendana na I'd Yake..Ni mtafutaji

2 Namuweka Lizarazu.
Huyu Kaka yangu sometimes namuona Kama comedian fulani ila huwa anaongea ukweli japo Ni mkali Sana.

3 reyzzap
Yaani nikiiona hii I'd imechangia sehemu huwa nacheka kwanza kabla sijasoma alichokiandika

4 Viatu vya samaki.
Licha ya ukorofi wake mwingi , huyu jamaa huwa anaandika fact Kwenye michango Yake mingi

5namuweka KENZY
Huyu naye huwa ananifanya nicheke sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Si kwa utumbo ninaoandikaga😂
Jukwaa naloliheshimu ni jamii intelligence,uchumi na biashara,afya namengine kwa mbali!!

Huko kwenye habari mchanganyiko huwa nami nachanganyikiwa hivyohivyo😂
 
Sesten Zakazaka zuri sana hili jina la huyu mzee mwenzangu yaani kuna kipindi alifanya hadi nikatamani na mimi nijiite Shadeeya Zakazaka. 🤣🤣🤣🤣

Mana nililipenda tu hilo jina.
Asante Shadeeya na wala hujachelewa ujue🤪

Tena ngoja nikwambie mamii, huyu Zakazaka alikua ni beki kisiki wa kati wa timu ya Taifa ya Malawi akicheza kati sanjari kabisa na aliyewahi kua kocha wenu Wananchi na pia Prisons ya Mbeya Jack Lloyd Chamangwana. Penda jina lake na mpende mwenyewe wala usipepese🤪🤪🤪
 
Top 5 yangu
1 jamaa fulani anajiita Upepo wa Pesa
Huyu Kaka I'd yake huwa inanivutia na anaendana na I'd Yake..Ni mtafutaji

2 Namuweka Lizarazu.
Huyu Kaka yangu sometimes namuona Kama comedian fulani ila huwa anaongea ukweli japo Ni mkali Sana.

3 reyzzap
Yaani nikiiona hii I'd imechangia sehemu huwa nacheka kwanza kabla sijasoma alichokiandika

4 Viatu vya samaki.
Licha ya ukorofi wake mwingi , huyu jamaa huwa anaandika fact Kwenye michango Yake mingi

5namuweka KENZY
Huyu naye huwa ananifanya nicheke sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo namba tatu mi mwenyewe ananifurahishaga sana na comments zake, usipomtaja huyo kaka yako siku yako haikamiliki?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante Shadeeya na wala hujachelewa ujue🤪

Tena ngoja nikwambie mamii, huyu Zakazaka alikua ni beki kisiki wa kati wa timu ya Taifa ya Malawi akicheza kati sanjari kabisa na aliyewahi kua kocha wenu Wananchi na pia Prisons ya Mbeya Jack Lloyd Chamangwana. Penda jina lake na mpende mwenyewe wala usipepese🤪🤪🤪
😅😅😅 hivyo wasema sijachelewa eee?

NAJUA WAJUA SES. 😍😍
 
Ndio majina ya Kipwani hayo, utadhani yametiwa hiliki na mdalasini, yaani sharti yananukiaaa kama asmini, waijua asmini Shadeeya?
Hahahaa!! Sijakuchekesha basi siku moja napita sehemu nasikia mtu anaita Shadeeya niligeuka baadae nakuja gundua sio mimi nilishushukaje. 😅😅😅😅

Nalijua asumin ndio. Lanukia hasaa.
 
Hahahaa!! Sijakuchekesha basi siku moja napita sehemu nasikia mtu anaita Shadeeya niligeuka kwa kasi ya ajabu baadae nakuja gundua sio mimi nilishushukaje. 😅😅😅😅

Nalijua asumin ndio. Lanukia hasaa.
Si unaona sasa? Pengine wala hakuwepo Shadeeya mwingine zaidi yako, sema ni ile harufu nzuri ya jina lako na wewe mwenyewe umbo lako lilivyo "Mashaallah" basi mtu akajikuta anaita tu SHADEEYA🤪🤪🤪

Wala usingefadhaika mamii ni sifa kubwa sana hiyo
 
Ngoja nikacheke kwanza Ses. 😅😅😅😅🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
 
1582518049351.png

duh kuna ma Handsome zaidi yangu kumbe
sijui km Ukwaju nitatajwa?
 
Back
Top Bottom