DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Aliziki ndo nini bosiHivi Mwanamke akisema hata Mwanaume umpe umpe Nini aliziki je hiyo nini nini?
Tuambieni Kama hizio Nini Ni Nini Basi kama hamsemi mtaendelea kuita wanaume wote ni Mbwa
Umeniwahi ..lol
😀Umeniwahi ..lol
Vipi Tundu Lisu kashakupa talaka?Umeniwahi ..lol
Hatuachani mkuuVipi Tundu Lisu kashakupa talaka?
Jambo liko wazi?😃😃😃
😃 nilivyoona Singida jimbo liko wazi nikajua utakuw single 👌Hatuachani mkuu
Jamani [emoji28][emoji28] Ni ukarimu tuukiachana na hilo mkuu sijui wanawake wanaambiana ukichat nae kidogo ukamuuliza kitu mkamalizana basi anakuambia neno "karibu" sijui wanamaanisha nn?
KAA kwenye foleni kwa kutuliaukiachana na hilo mkuu sijui wanawake wanaambiana ukichat nae kidogo ukamuuliza kitu mkamalizana basi anakuambia neno "karibu" sijui wanamaanisha nn?
Kuwa single ni dhambi kama dhambi zingine🐒😃 nilivyoona Singida jimbo liko wazi nikajua utakuw single 👌
Liziki,riziki,rizki= Ugali.Aliziki ndo nini bosi
[emoji28][emoji28]Kuwa single ni dhambi kama dhambi zingine[emoji205]
Alafu hivi kwa nini namba ikiwa ngeni ikituma meseji ya "mamb" kichwa kinaanza kuscan "huyu atakuwa mwajei wa Mbagala majimatitu au Jane wa tegeta mbuyuni?"ukiachana na hilo mkuu sijui wanawake wanaambiana ukichat nao kidogo ukamuuliza kitu mkamalizana basi anakuambia neno "karibu" sijui wanamaanisha nn?