Wanawake tuambieni kuhusu kauli yenu ya ‘Mwanaume hata umpe nini haridhiki’. Hiyo ‘nini’ ni kitu gani?

Wanawake tuambieni kuhusu kauli yenu ya ‘Mwanaume hata umpe nini haridhiki’. Hiyo ‘nini’ ni kitu gani?

Hivi Mwanamke akisema hata Mwanaume umpe umpe nini haridhiki, hiyo ‘nini’ humaanisha kitu gani?

Tuambieni hizo nini ni nini basi. Kama hamsemi mtaendelea kuita wanaume wote ni Mbwa.
Kwa mawazo yako potofu unataka kusema hiyo "Nini" wanamaanisha "MATAKO"?

Huo ni msemo tu umezoeleka hakuna Cha ziada nyuma ya hapo.
 
Back
Top Bottom