Wanawake tuambieni kuhusu kauli yenu ya ‘Mwanaume hata umpe nini haridhiki’. Hiyo ‘nini’ ni kitu gani?

Au utasikia wanasema sijui kwangu amekosa nn unabaki unajiuliza kwan ana nini na nini anachonipa 😀
Wanatakiwa wajue kila mwanamke ana taste yake 🍻
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…