Wanawake tulio single tuweni makini na hili

Kumbe upo single


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni wazo zuri. Na Vema wanawake wakafuata hayo.
Ila Mapenzi haya, ni vema ukayamaliza mapeeeema, sio una miaka 35 bado unawaza/kufanya mambo ya namna hiyo juu...
Hii inawahusu wanaume wenzangu.
 
Yaani najiona kama mimi ndiye niliyeandika![emoji28][emoji28][emoji28] Point tupu.Huu ndio ukweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ni ubaguziii, hapo utakuwa unajibagua, ukimpenda kidum mpende jinsi alivyo, usiangalie leo pia kuna kesho. Huku kujificha ficha kutakufanya akukimbie mapema. Hakuna mtu anayependa kuwa singo bali ni ww umependa, Ukiwa unakea vizuri na mwanaume naye anakea ukichukulia izee nayey anachukulia izeee.

Chai ikiiva imeiva, ila chai haina ukoko
Ana ulimi utamu - Ana maneno matamu Mwanaume

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kidemu changu kilokole kikilewa kinahubiri🎶🎶🎶
Ee kina upepo wa kisulisuli🎶🎶🎶
 
Tatizo hakuna mwanaume mwenye akili anaweza kwenda kula tunda kwenye kitanda cha demu.. never ever!!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…