Wanawake tulio single tuweni makini na hili

Si mbaya kuwa kwenye mahusiano na mwanaume maana inapaswa iwe hivyo

Lakini kwa wanawake tulio single tuwe makini sana

Unapochagua kuishi pekee yako kwenye nyumba yako uliyopanga au uliyojenga usidhubutu kamwe kumkaribisha mwanaume nyumbani kwako hasa mpenzi wako

Bora uwe unaenda kwake kuliko yeye kuja kwako

Na pia usikubali akupangishie ni kosa kubwa sana na hilo bora upange mwenyewe ila kama ni kumuomba hela ya pango uwe unamuomba kwa njia nyingine ila usimwambie ni pango itakuwa kero hapo nyumbani kwako

Yafuatayo yanaweza kukupata kama utaruhusu kinyume chake hapo juu

1,Mwanaume ni lamba lamba ,leo utamkaribisha kwako kesho amekuacha ,ni aibu iliyoje hicho kitanda kulaliwa na wanaume tofauti tofauti kila mara bora yeye awe anabadilisha wanawake kwake kuliko wewe mwanamke

2,Ni marufuku mwanaume yeyote kuja kukusalimia kwako hata kama hampo naye kwenye mahusiano ,akikukuta na mwanaume mwingine ndani utakuwa ugomvi wa hatari,na wanaweza akakuumiza akihisi aliye kukuta naye ni mpenzi

3,Mwanaume atadhani amekuoa,yaani hapo kwako itakuwa kwake,atakutawala balaa,na atakuwa anawaleta marafiki zake hapo kwako,kazi yako ni kupikia mashem

4,Na kama ni mume wa mtu, dunia haina siri,unaweza ukakamatwa ugoni ikawa shida

5,Kama umemchoka mwanaume na unataka uachane naye inakuwa ngumu kumuacha maana kila dakika atakuja kwako ,utakuwa unamkuta kitandani kwako amelala hata unune kiasi gani hawezi akaondoka,ugomvi ugomvi ambao utakuwa unaumia wewe

6,Wanaume walivyowajinga ukishamkaribisha kwako anawatangazia wanaume wengine ubabe wa kuonekana kwangu ,na hujionyesha kwa majirani kuwa yeye ndo baba mwenye nyumba

7,Wengine mkikosana atataka akunyang'anye vyombo au assets ambazo umenunua mwenyewe au alikununulia na kukuebisha

Wanawake tushituke,tusifanye makosa

Kama hujawa wa kuolewa ila unataka kuwa na mpenzi,mkutane huko hotel au kwake kama na yeye yupo single lakini kwako usije ukadhubutu ,utaumia na utakwama sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe upo single

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni wazo zuri. Na Vema wanawake wakafuata hayo.
Ila Mapenzi haya, ni vema ukayamaliza mapeeeema, sio una miaka 35 bado unawaza/kufanya mambo ya namna hiyo juu...
Hii inawahusu wanaume wenzangu.
 
Kwa staili hii bado mtafeli sana wanaume si wajinga kiasi hicho, labda wavulana! Huwa hatujengi kibanda, siku ya kwanza nikikaa na wewe dakika tatu zanitosha kujua hapa nimekutana na mkali kwanza, jambazi, mwehu, tegemezi, tapeli, ama wife material, baada ya hapo nitajua niende na wewe vipi, sisi tunawinda lakini wanawake ni wawindaji wazuri zaidi. Ukilijua hili mambo ni laini kabisa, unaweza kuwa ktk mahusiano japo huusiani nayo kivile.
Yaani najiona kama mimi ndiye niliyeandika![emoji28][emoji28][emoji28] Point tupu.Huu ndio ukweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ni ubaguziii, hapo utakuwa unajibagua, ukimpenda kidum mpende jinsi alivyo, usiangalie leo pia kuna kesho. Huku kujificha ficha kutakufanya akukimbie mapema. Hakuna mtu anayependa kuwa singo bali ni ww umependa, Ukiwa unakea vizuri na mwanaume naye anakea ukichukulia izee nayey anachukulia izeee.

Chai ikiiva imeiva, ila chai haina ukoko
Ana ulimi utamu - Ana maneno matamu Mwanaume

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kidemu changu kilokole kikilewa kinahubiri🎶🎶🎶
Ee kina upepo wa kisulisuli🎶🎶🎶
 
Tatizo hakuna mwanaume mwenye akili anaweza kwenda kula tunda kwenye kitanda cha demu.. never ever!!

Back
Top Bottom