Wanawake tunaolewa na walio tayari kwa ndoa

Lazma kiporo kikae kwenye microwave
 
Tunaowapenda hawatupendi wanaotupenda hatuwapendi📌
Wahalifu kwenye hili ni wanawake... Wanaume ni wahanga tu!
Kwa kawaida mwanaume anachagua kuoa mwanamke anayependa. Tatizo ni pale mwanamke husika anakubali, kumbe Hana mapenzi yoyote kwa huyo mume!!!
 
Yaani jamii ikikukomalia utajuta.
Hasa mashangazi wa shangazi kaja
Jamii inakomalia kwa nia njema kabisa hakuna mzazi au ndugu wanaopenda wasicha wao wasilelewe, binti akishaolewa wazazi presha inaisha na makaka wana furahi.
 
Mwanamke toka zamani anatii mwanaume ndo anapenda mwanamke hajapewa mamlaka hayo na muumba mwenyewe hyo ni nature maana angepewa hayo mamlaka dunia isingekalika.
 
Fact!.
 
Ajabu ni kwamba mwanamke anafundishwa kupenda

"Wanawake watu wazima wafundishen wanawake wawapende waume zao"
Si kazi ya wanawake watu wazima kuwafundisha wanawake kupenda, waume zao Bali n kazi ya mumewe kulingana na anavyomtreat mkewe
 
Real lkn mapenz yawe km yalivo tukiyageuza mwisho wake ni kuuana sabbu kunakuwa hakuna upendo Wala huruma
 
Wakosefu kwenye hili ni wanawake.
Kwa kawaida mwanaume anachagua kuoa mwanamke anayependa. Tatizo ni pale mwanamke husika anakubali, kumbe Hana mapenzi yoyote kwa huyo mume!!!
Na kupnda pia sio kazi yetu ndo maana tunaumiasana mwanmke anatakiwa amuheshimu na amtii mwanaume mwanaume ndo antakiwa ampende mwanamke ila tuna kiherehere tu 😄
 
Kweli kabisa. Huwezi kumuheshimu mwanaume usiempenda.
Wenyewe wanatuambia wanawake hatujaumbiwa kupenda, Where! Which! When!!! Eti tumeumbwa kutii wapi??? Nakazia, huwezi mheshimu wala kumtii usiyempenda.

Sisi wanawake tukipenda safi sana, tunaheshimu, tunatii na wala sio wabinafsi.

Matatizo mengi yanayoendelea ni sababu ya watu kuolewa na wasio watu wao. Wanaolewa for sake of it, acha tuendelee kusikia matukio.
 
Tenaa sisi wanawakee ni mabingwaa wa kupretend kupendaa..Ila mjuee tu kwamba tunawezaa kuolewaa lkn Kuna mtuu anakuwaa ameutekaa kbsaa moyooo yaan ule upendo wa ndani kbsaaaa..Na hakuna kitu utawezaa kubadilisha lkn tunaweza kuwepo kwenye ndoa kiroho Safi kbsaa lkn tunapendaa kwingineee☺️☺️
 
Ndo option mliokuwa nayo sababu hamjapewa uthubutu wa kutongoza na kuanzisha familia
 
Absolutely!
 
Nashangaa kbsaa eti hatujaumbiwaa kupendaa sio kwelii tena tukipendaa ni watulivu mno tunakuwa hot kbsaa na very romantic..hatuna papara wala visirani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…