Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
Ata sielewi 😂Ndio
Ndio hivyo...mwanamke unamuheshimu mwanaume mwenye mihela..vipi besty....kuna dalili za ndoa lakini kwa huyo tall dark and handsome?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ata sielewi 😂Ndio
Ndio hivyo...mwanamke unamuheshimu mwanaume mwenye mihela..vipi besty....kuna dalili za ndoa lakini kwa huyo tall dark and handsome?
Tatizo tunafanya maisha kuwa complicated sana as if tunaishi milele hilo ndo tatizo mara Sina hisia nae
Fantasy zinatesa sana wanawake nawakati mda wetu wa kuishi ni mfupi sana
Basi kama huko hakueleweki njoo huku kunakoeleweka bwana. Muda unaenda unapaswa kuwa milf bwana wewe.Ata sielewi 😂
Nyie wanawake wajinga sana Tena ujinga wa kuzimuKweli kabisa. Huwezi kumuheshimu mwanaume usiempenda.
[emoji2957][emoji2957][emoji2957]Mwanamke hapendi, mwanamke anamuheshimu mwanaume mwenye hela basi
Hilo unalosema ni kweli kabisa lakini kiuhalisia ni wanawake wachache sana wenye uthubutu wa kumvumilia mwanaume aliefilisika mkuu. Kama mimi muongo we jaribu kufilisika uone wifi ana react vipiNi jambo la heri ambalo ndani yake kuna viapo ambavyo unavyotakiwa uviishi "nitakuwa naye kwa shida na raha........ uzima na ugonjwa........".
Hivyo viapo ndio ndoa yenyewe, ukikubali ndoa manake umekubali kuuishi ktk hivyo viapo.Sio leo ana hela upo naye kesho hana una mkimbia.
Naweza vizuri bila shida yeyote as long akili imeamuaWewe unaeza ishi na mtu huna kabisa hisia nae?
Ili uwe na hisia na mwanaume unataka mwanaume wako aweje?Wewe unaeza ishi na mtu huna kabisa hisia nae?
Bahati nzuri nipo single,wanawake wenye uthubutu wapo japokuwa siku hizi mnajiendekeza kwani mnapenda sana kuiga,mpaka mnashindwa kutofautisha lilipi ni hitaji lako la msingi na lipi ni luxury.Hilo unalosema ni kweli kabisa lakini kiuhalisia ni wanawake wachache sana wenye uthubutu wa kumvumilia mwanaume aliefilisika mkuu. Kama mimi muongo we jaribu kufilisika uone wifi ana react vipi
Dunia ya Sasa sio kama ya hapo nyuma kidogo vijana wakike kwa wakiume wanaongozwa na tamaa na mihemko hata ufundishe vipi SoMo la kupenda kwa dhati Bado watafeli tu. Wake kwa waume hawako tayari kudhibiti tamaa zao za mwili na fedhaAjabu ni kwamba mwanamke anafundishwa kupenda
"Wanawake watu wazima wafundishen wanawake wawapende waume zao"
Utapewa vijembe mpaka ushangaeHilo unalosema ni kweli kabisa lakini kiuhalisia ni wanawake wachache sana wenye uthubutu wa kumvumilia mwanaume aliefilisika mkuu. Kama mimi muongo we jaribu kufilisika uone wifi ana react vipi
Single mothers wengi walizalishwa na wanaowapenda a.k.a Wana hisia nao Ila hawako committed (kuwajibika) kwenye mahusiano kuwajibika ndo kitu Cha muhimusi mnapenda ndoa za kulazimisha, kaeni mkao wa kula mtaolewa mtazalishwa na kuachika, mtaishia kujiita single mothers ushuzi mtupu... Halafu wanawake mkae mkijua mwanaume anachotaka ni heshima tu na kwa mwanaume ndoa siyo jambo la heshima na thamani kwake, mwanaume anapo oa maana yake amechagua mwanamke ambaye atamzalia watoto na atalea familia... Ukimuheshim mwanaume atakupenda, ukimchukulia poa atakudampo, mwanaume hawez kumpenda mwanamke kama hajaheshimiwa kwanza... Na usirogwe ukaingia ktk ndoa kwasabab unataka tu ndoa ila humpend huyo mwanaume nakuambia baada ya miez kadhaa mwanaume akigundua unamchukulia poa basi maisha yako yote utaishi kama jehanam... Achaneni na hao wapumbavu wanao wadanganya unaweza kuishi bila mume wakat wao moyoni mwao kilasiku wanalia kwanin waliachana na waume zao, ni aibu na fedheha mwanamke unaachika alafu unaishi maisha ya upweke upoupo tu hakika hakuna atakaye kuthamin na kukuheshimu...
Wanaopenda ni Wanaume ndo maana wanatongoza wanawake mnajifunza kupendaDunia ya Sasa sio kama ya hapo nyuma kidogo vijana wakike kwa wakiume wanaongozwa na tamaa na mihemko hata ufundishe vipi SoMo la kupenda kwa dhati Bado watafeli tu. Wake kwa waume hawako tayari kudhibiti tamaa zao za mwili na fedha
Nimegundua ndoa nyingi hazidumu kwa sababu wanawake wengi wameingia kwenye ndoa na wanaume waliokuwa tayari kuwaoa na sio wale wenye mapenzi ya dhati kwao.
Inatokea unampenda mwanaume ila hakuoi .anatokea mwingine anatangaza ndoa inabidi ukubali .muda nao haucheleweshi matokeo
Ndoa inakuwa ndoana maana hakuna feelings wala nidhamu
Ni ngumu mwanamke kusex na mtu asiempenda,ni ngumu kumuheshimu mwanaume usiempenda .
Mbaya zaidi itokee huyo mwanaume alipendewa fedha na fedha imeisha ,basi hyo ndoa ni inakuwa jehanum kabisa
Wanaopenda ni Wanaume ndo maana wanatongoza wanawake mnajifunza kupendaDunia ya Sasa sio kama ya hapo nyuma kidogo vijana wakike kwa wakiume wanaongozwa na tamaa na mihemko hata ufundishe vipi SoMo la kupenda kwa dhati Bado watafeli tu. Wake kwa waume hawako tayari kudhibiti tamaa zao za mwili na fedha
Miss Natafuta NEVER fall in love with a dreamer.. Akigutuka usingizini utabaki na maumivuNimegundua ndoa nyingi hazidumu kwa sababu wanawake wengi wameingia kwenye ndoa na wanaume waliokuwa tayari kuwaoa na sio wale wenye mapenzi ya dhati kwao.
Inatokea unampenda mwanaume ila hakuoi .anatokea mwingine anatangaza ndoa inabidi ukubali .muda nao haucheleweshi matokeo
Ndoa inakuwa ndoana maana hakuna feelings wala nidhamu
Ni ngumu mwanamke kusex na mtu asiempenda,ni ngumu kumuheshimu mwanaume usiempenda .
Mbaya zaidi itokee huyo mwanaume alipendewa fedha na fedha imeisha ,basi hyo ndoa ni inakuwa jehanum kabisa
Na hapo ndo we naye siku ukiwa tayari utakutana na muongo asiye na feelings zozote kwako!bint kila siku ananitafuta na anasema ata akiolewa atanizalia...