Wanawake tunaolewa na walio tayari kwa ndoa

Mkuu upendo tuu, kuna wanawake wanapenda kweli na hawaigizi kabisaa na tena ni warembo haswa
Tatizo wengi wao wana akili za kushikiwa, unaweza ukakuta kweli demu anampenda mwana ila marafiki zake utawasikia "yaani wewe na uzuri wote unatembea na kapuku kama huyu.........",ndio hapo anapo amua kumfanya mwana waziri wa mambo ya ndani na kutafuta kipopa kama waziri wa fedha na wengine hufikia mpaka kuolewa na waziri wa fedha ,huku waziri wa mambo ya ndani akishushwa na kuwa kidumu chake.
 
Mbona kuna ndoa kama 4 hivi ambazo binafsi wanandoa nawafahamu, ni ndugu na jirani zangu, mwanamke hakumpenda mumewe, lakini wamedumu miaka 40+ hizo mnazizungumziaje, mm ni shuhuda wa hayo.. hata mama yake Kikwete alimfahamu mumewe siku ya harusi, aliletewa mume, aliambiwa mume huyo hapo, na walidumu miaka 60 hadi kifo kiliwatenganisha, Kikwete aliongea hayo alivofanyiwa interview na salama Miss Natafuta Mzigua90 to yeye
 
Umeongea kweli mie npo na mshkaj wangu mwaka wa saba huu Agemate, Dini tofauti, Hakuna ndoa tuna lea fresh kupendana ndo kama tumekutana jana.
 
Mkuu upendo tuu, kuna wanawake wanapenda kweli na hawaigizi kabisaa na tena ni warembo haswa
Sasa kama huyo anakuoenda kwa nini wewe usimuwowe au wee wataka chakata mbususu tuu hamna kuweka ndani?
 
Shida ipo kwa sisi wanaume wanaotupenda hatuwaoi sijui kwanini mfano mm nina wanawake watatu wananipenda na kuniheshimu sana lkn hapo bado hata mmoja sijawahi kumwambia nitakuowa naamini nitapata mzuri zaidi kumbe maskini napotea inabidi nifanye maamuzi
 
Na kupnda pia sio kazi yetu ndo maana tunaumiasana mwanmke anatakiwa amuheshimu na amtii mwanaume mwanaume ndo antakiwa ampende mwanamke ila tuna kiherehere tu 😄
Kweli, ndivyo inatakiwa kuwa..
Lkn mtoa mada (ambaye ni Ke) kasema Ke hawezi kuheshimu wala kumtii mume asiyempenda!!!

Angalia mwenzio mwingine anavyosema hapa..
👇👇
 
Duuh!
Huo ndo utapeli sasa.. Unafikiri wewe ni mume wa mtu wako wa ndoa, kumbe kiuhalisia wewe ni mchepuko wake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…