Wanawake tunaolewa na walio tayari kwa ndoa

Wanawake tunaolewa na walio tayari kwa ndoa

Mkuu upendo tuu, kuna wanawake wanapenda kweli na hawaigizi kabisaa na tena ni warembo haswa
Tatizo wengi wao wana akili za kushikiwa, unaweza ukakuta kweli demu anampenda mwana ila marafiki zake utawasikia "yaani wewe na uzuri wote unatembea na kapuku kama huyu.........",ndio hapo anapo amua kumfanya mwana waziri wa mambo ya ndani na kutafuta kipopa kama waziri wa fedha na wengine hufikia mpaka kuolewa na waziri wa fedha ,huku waziri wa mambo ya ndani akishushwa na kuwa kidumu chake.
 
Mbona kuna ndoa kama 4 hivi ambazo binafsi wanandoa nawafahamu, ni ndugu na jirani zangu, mwanamke hakumpenda mumewe, lakini wamedumu miaka 40+ hizo mnazizungumziaje, mm ni shuhuda wa hayo.. hata mama yake Kikwete alimfahamu mumewe siku ya harusi, aliletewa mume, aliambiwa mume huyo hapo, na walidumu miaka 60 hadi kifo kiliwatenganisha, Kikwete aliongea hayo alivofanyiwa interview na salama Miss Natafuta Mzigua90 to yeye
 
Nisikilize madam !!Maisha unatakiwa kuwa na mpenzi mshkaji halafu mnapendana hatar hii itasaidia kutobagua dini wala kabila yaani una mshkaji mnapendana hata kuzaa mnazaa ila mnaweza msifunge ndoa hata miaka 10 mkawa mnaishi hata kama mna dini tofauti tatizo lenu wasichana watu mlikuwa nao kweny umri sawa yaani age mates mnawaona labda watoto mnaangukiwa kwa mizee mwisho wa siku kama unaishi na baba ako.
Umeongea kweli mie npo na mshkaj wangu mwaka wa saba huu Agemate, Dini tofauti, Hakuna ndoa tuna lea fresh kupendana ndo kama tumekutana jana.
 
Shida ipo kwa sisi wanaume wanaotupenda hatuwaoi sijui kwanini mfano mm nina wanawake watatu wananipenda na kuniheshimu sana lkn hapo bado hata mmoja sijawahi kumwambia nitakuowa naamini nitapata mzuri zaidi kumbe maskini napotea inabidi nifanye maamuzi
 
Na kupnda pia sio kazi yetu ndo maana tunaumiasana mwanmke anatakiwa amuheshimu na amtii mwanaume mwanaume ndo antakiwa ampende mwanamke ila tuna kiherehere tu 😄
Kweli, ndivyo inatakiwa kuwa..
Lkn mtoa mada (ambaye ni Ke) kasema Ke hawezi kuheshimu wala kumtii mume asiyempenda!!!

Angalia mwenzio mwingine anavyosema hapa..
👇👇
Wenyewe wanatuambia wanawake hatujaumbiwa kupenda, Where! Which! When!!! Eti tumeumbwa kutii wapi??? Nakazia, huwezi mheshimu wala kumtii usiyempenda.

Sisi wanawake tukipenda safi sana, tunaheshimu, tunatii na wala sio wabinafsi.

Matatizo mengi yanayoendelea ni sababu ya watu kuolewa na wasio watu wao. Wanaolewa for sake of it, acha tuendelee kusikia matukio.
 
Tenaa sisi wanawakee ni mabingwaa wa kupretend kupendaa..Ila mjuee tu kwamba tunawezaa kuolewaa lkn Kuna mtuu anakuwaa ameutekaa kbsaa moyooo yaan ule upendo wa ndani kbsaaaa..Na hakuna kitu utawezaa kubadilisha lkn tunaweza kuwepo kwenye ndoa kiroho Safi kbsaa lkn tunapendaa kwingineee☺️☺️
Duuh!
Huo ndo utapeli sasa.. Unafikiri wewe ni mume wa mtu wako wa ndoa, kumbe kiuhalisia wewe ni mchepuko wake!
 
Back
Top Bottom