Wanawake tunaolewa na walio tayari kwa ndoa

Nashangaa kbsaa eti hatujaumbiwaa kupendaa sio kwelii tena tukipendaa ni watulivu mno tunakuwa hot kbsaa na very romantic..hatuna papara wala visirani
Mkuu, ok..
Je, tutajuaje mwanamke mkweli?
 
Daaah, ulicho kiandika ni kweli, acha nikupe story mbili,
Wiki hii iliyo isha leo, kuna dogo alitoa mahari hapa jirani ndoa ikatangazwa kanisani, ikawa send off ya binti , dogo hakutokea, wamepiga simu wajuavyo dogo hapokei, ikabidi waende kuuliza kwa wazazi wazazi nao hawafahamu dogo aliko enda, Rafiki mtu kuulizwa akasema dogo yupo Dar na ameondoka jana yake kwa basi asubuhi mapema,
Basi watu waliochanga michango yao wamekwazika na ndoa haikufungwa mpaka leo, taarifa za chini chini
dogo yupo na kademu anakokapenda sana huko Dar, na amesema asitaftwe kwa maana hakuwa amemkubali huyo alotaka kumuoa ila alijilazimisha tu,

story ya pili,
Mtoto wa mchungaji alikuwa fundi nguo akapewa mimba na mvulana fundi nguo mwenzake wakati alikuwa ameshalipiwa na posa kabisa na kijana mwingine,
Ndoa imefungwa watu hawajui kama binti anamimba ya miezi 4 jamaa akakabidhiwa mke baada ya ndoa zimepita siku chache mke anaanza onyesha mabadirika maana mabinti wengine mimba zinajificha kwenye matiti, mama mkwe kumuuliza mtoto wake vip ulimpa mimba ndipo ukamuoa jamaa akasema sikuwahi kulala naye hata siku moja,
Alipo banwa binti akasema ukweli kuwa mimba ni ya fundi mwenzake, fundi kupigiwa simu na wazee akakili kuwa mimba ni yake maana binti alikuwa anampenda sana na hata alipo mkatalia kuwa ameshatolewa posa inabidi atulie yeye alizidi kumsumbua kuwa anampenda sana, akawa anamfuata Getto,
Ndoa imesha vunjwa mpaka sasa
 
Duuh!
Huo ndo utapeli sasa.. Unafikiri wewe ni mume wa mtu wako wa ndoa, kumbe kiuhalisia wewe ni mchepuko wake!
Ndioo yaan hapo nimetoaa fact kabisaa wanawake linapofikiaa suala la kuolewaaa wengi wanaingiaa ..labda kwa sababu ya pesa..muda umekwendaa nk..lkn waahanga wa kupretend ndoaa kwa kiasi kikubwaa ni wanawake..Na mwisho wa siku feelings zipo kwa mwinginee kabisaaaa..Nimepata kushirikishwaaa hii ishuuu na wanawake zaidi ya wannee
 
Why wazee wetu wlweza kuish bila kupendna n kuambiw tu kaoe pale unaoa maisha ynaendlea na wmtngnishwa na ndoa?

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Viliivana vidude
 
aise ya sex na mtu anayekupenda au mnaependana mkongo na viagra zikasome upya,hii kitu ilinikuta mahali binti wa watu kanielewa kinyama first time tu kuniona akavunja torati na kanuni zote za babylon nikawa natunikiwa medani zote muda wote we that moment nikikumbuka nacheka ila bahati mbaya kwake ckuwa muoaji dah!
 
Shida ni kwamba huyo mwanamke kwenye kushawishika akakubali, anakua ameshawishika na vitu vingi mfano upendo wa kweli au fedha na marupurupu mengine ambayo yakipotea ndoa inaweza kwenda mrama,, hii ni tamaa ya fedha.

Lakini pia mwanaume huyuhuyu aliependa anakuja kupenda tena mwanamke mwingine na kusahau kuwa alishapenda mtu hapo mwanzo, anatelekeza nyumba na hata kama alizaa vitoto anakua Hana habari navyo.

Hapo ndipo nliposema kuwa uwezo mdogo wa kudhibiti tamaa. Ni jukumu la Kila mmoja kutunza mahusiano yake yawe mazuri.
 
Bahati nzuri nipo single,wanawake wenye uthubutu wapo japokuwa siku hizi mnajiendekeza kwani mnapenda sana kuiga,mpaka mnashindwa kutofautisha lilipi ni hitaji lako la msingi na lipi ni luxury.
Kuwa single ni raha sometimes so hongera na wakati ukifika jitahidi kufanya machaguzi sahihi na usisahau kutimiza majukumu Yako kama baba
 
Mnatamani sana ndoa lakini kuzitunza hamjui. Makahaba wanawapiga Sana gap ya kuwachulieni sababu wanajua mume anataka nini.
 
Unapokuwa na fedha ni ngumu kweli kumtambua mwanamke anayekupenda ni ngumu kweli mwanamke akupendaye ni yule tu mliyetoka naye mbali yaani toka ulipokuwa kapuku, wanaodandia baada ya mafanikio siyo all that are same to sexworker! Na hata ndoa hakuna hapo, mfungulie duka anaua, NAZUNGUMZA KWA HASIRA KWELI, NO MORE BETTER BE ALONE, niwe nawaokota tu for just a leisure!
 
Kwa wale walio wa katoliki, mnachoita ndoa au harusi.... wale wanasema "kubariki ndoa"

Kumaanisha ndoa ni pale mbususu inaporaruliwa. Hayo mengine ni siasa.

Mi naona ndoa ni vizuri kuifunga pale, mshakula chumvi ya ku shato. Maanake mshavuka kwote uko, mnakaribia kustaafu.
 
Hii kubariki ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…