Wanawake tuwe waelewa tukiwa kwenye ndoa jamani

Akili zako zipo sawasawa? unafikiri sawasawa??
 
Una akili sana dada
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ama kwa lugha nyepesi, huyo anaeitwa kaka mmoja ni aina ya wanaume ambao hutowa mambo yao ya ndani ya ndoa na hata inapo bidi kumsingizia mke wake ili tu mchepuko ujione ni bora zaidi ya mke wa ndoa

Inawezekana ila ni kwa asilimia chache sana jamaa kujiexpose hivi kwa mtu baki unless anaitumia hii kama weapon ya kumlamba bibie maana amemwona anahuruma saana
 

Mkuu Nakuunga mkono!!!!

Asili ya mwanamke ni kuhudumiwa na kuongozwa+ kutawaliwa na mwanaume siyo kutoa huduma (Japo siyo wote wako hivyo) ndiyo maana mimi huwa nashauri usioe mwanamke kwa kuangalia kipato chake au elimu. Vijana wa sasa walio wengi hukimbilia kuoa wafanyakazi kwa kigezo cha kusaidiana bila kujua maana na mapana ya neno "Kusaidiana"

Kuhusu Wanawake kuwa na urafiki na shetani, naomba uweke akiba ya maneno (maana hata mama zetu na dada zetu ni hao hao wanawake)
 
Mkuu ambao hatujaoa unatuambia nn ss mabaharia

Mkuu sijajua falsafa zako ziko vipi au misingi yako ya kimaisha ikoje.

Maana ninaweza nikatoa ushauri halafu ushauri wenyewe unakinzana na falsafa ambazo tayari umeshajiwekea kama muongozo wa maisha.

Au labda nikuulize kwanza swali, je wewe una embrace mabadiriko ya kitamaduni au uko conservative?
 
Aliingia kwenye ndoa kijasiriamali zaidi
 

Mkuu ipo hivi mimi na wewe tukikaa tukakubaliana jambo tunakusha na haiba fulani ya undugu au urafiki hata kama ni wa muda mfupi,

Nilivyoeleza urafiki nilikuwa nnajua kama ni mama na dada lakini haibadilishi ukweli

Mfano kama hawa ndo angekuwa mama halisi wa mtu kwani inaondoa ukweli kwamba alikula tunda na shetani?
 

I dont trust you and what you are saying!

Unadanganya,period!
 
Niko neutral
 
Akili zako zipo sawasawa? unafikiri sawasawa??
sasa mke anajua kabisa jamaa anamchepuko na anamhudumia, anaanzaje kutoa hela hali akijua atahongwa mchepuko??! Najua mwanaume anaweza ng'ang'ania hela yangu lakini ajue naitoa bila hiyari...

Nibaki tu sina akili lakini si kwa akili hizi za mme kutaka na jasho la mkewe akaonge mchepuko
 
Na jamaa lilisugua kwelikweli
 
Mabaharia tuachane na maswala ya kuoa tupige mbunye tule kona
🀣🀣🀣🀣🀣 nakubali baharia, hawa watu wanatufanya mabaharia watu wa hovyo hovyo tu huko ndoani!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…