Wanawake tuwe waelewa tukiwa kwenye ndoa jamani

Alooh acha tu, hawa masela zake sheta ni nyoko.ree 🤣🤣🤣
 
Hapo hamna mke, ipo siku ntakuja kueleweka tu 🤣🤣🤣 ni swala la muda. Sintoshangaa mke kama huyo akikunyanyasa kipindi huna kitu au umefulia. Ama akikufukuzia ndugu zako wasikanyage kwako kwa choyo chake na maneono ya shombo.
 
Tatizo la wanawake wengi wa kibongo ni roho za kimaskini. Ubinafsi, kiburi na tamaa zinawaponza, wanarudia makosa wanashindwa kujifunza, akili zao fupi kama maisha ya funza.

Mungu aniepushie hilo balaa, i pray!
 
Huwa sijui mabaharia wanakwama wapi? Yani mtu ataacha mwanamke mwenye maadili na yupo real ila anadondokea kwa kiazi
Kiongozi, shida kubwa ni yale maigizo wakati wa kutafuta kuolewa...
Lakini vilevile wanawake wenye hela, shule au madaraka kuliko waume zao, BAADHI NI SHIDA SANA, HASA BAADA YA ULE MKUTANO WA BEIJING CHINA....

Mwanaume kuishi na mke asiye na kipato inawezekana, TENA KWA MAISHA YOTE... Lakini mwanaumke, mume aishie wakiwa kwenye NDOA, WIKI TU MAISHA HUWA MAGUMU SANA
 
Watakuja kusema unalilia kusaidiwa na mkeo 🤣🤣🤣 sijawahi ona watu wenye stupid thinking kama wa Tzed.

Family issues afanye baba pekeyake tu ilihali mama yupo na ni income earner pia. Thats selfishness in its highest degree, uache watoto na mume bila chakula kwa kejeli ya aina yake 🤣🤣🤣 mungu baba nisaidie!
 
Ila huyo kaka ana moyo nae kumuuliza mwanamke "Mbona umetuacha bila kitu ndani?

Kaka zangu tafuteni hela tafuteni hela mbebe majukumu yenu wenyewe
Kwakweli mimi binafsi siwezi kumwambia mke hivo eti "mbona umetuacha bila kitu ndani"....ntakufa nakiburi na njaa zangu kama yeye anaye ka jikoni hawezi kuona kama hamna chakula sina haja ya kuendelea nae kama mke,... how ever much I need her service, kwanini niishi namnyama ndani wakati options zipo nyingi
 
Mimi hayo maigizo ndio nilishayatafutia suluhu kama baharia mstaafu. Mwanamke ambaye naona atanifaa naweka ndani anakula probation ya mwaka na nusu kimya kimya, amini kwamba malaya hawezi igiza ndani ya muda wote huo.

Utamsanukia tu na tabia zote mbovu utazijua, sasa mambo ya kuuziana mbuzi kwenye gunia ndio hayo unaoa wakala wa shetani kwenye ngozi ya kondoo.

Ila epuka sana mwanamke mbinafsi kichaa angu, katika tabia zote pamoja na uzuri gani au utamu kiasi gani alionao manz yako hakikisha hana tabia ya choyo mkuu, awe mzungu wa roho na understanding...utafurahia sana maisha baharia wangu.
 
Wadanganye tu wenzio.
Awadanganye ama ndio ukweli huo, lini mtajifunza kuwa mume nae ni binadamu na wala sio mashine ya kufytulia pesa tu 🤣🤣🤣??? Acheni ubinafsi!

Mwanaume kuna muda anakwama na faraja pekee ni toka kwa mkewe, sasa mwanaume kama huyo akianza kuchepuka kuna mtu atalalamika, kama ndio treatment anayopata toka kwa mkewe?
 
Ukiona mwanamke anafanya ukatili kwa mwanaume kuna sababu sio bure..
Sababu gani kama sio ubinafsi, naimani kwa wanawake wa kibongo na roho zao za choyo kwenye sample ya watu 100 hapo 80% wangetoa response ya aina ya mke wa huyo jamaa.
 
Kuona NI kuamini... Kuna maneno MTU akiyasema unajuwa tu hajaowa

Simtetei huyo mwanamke, najua alichokifanya sio sahihi.
Unajua sometimes haitoshi kuwa sahihi peke yake, bali jinsi unavyocommunicate inamatter sana. Kama baharia katamka hayo maneno, basi kafeli kwenye uwasilishaji.

Kuhusu swala la ndoa, ni choice tu mzee baba, I may be older than you. Na wewe kuwa umeoa haimaanishi kwamba you are always right.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…