Wanawake, ukimpenda mwanaume halafu yeye hakutongozi huwa mnafanyaje?

Kuna ka dada kalikua na frem karibu na hotel nayo penda kula kakiniona tu naenda hotelini na kenyewe hako kakifika kakute nakula basi kanakuja mezani pale kanadokoa mara soda Nayo kunywa nako kanakunywa nikajua tu haka kamekwama nilichukua simu yake nikaweka no yangu ....🀣🀣kalikua kanatuma sms za mahaba acha .
 
Muendelezo mkuu.
 
Hata Mimi tulishawahi kugombana humu jukwaani kuna member akaingilia kati 😁😁
 
Ulikula?


Chakula cha hotelini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…