πNtamuonesha ishara kuwa nimemuelewa na namkubali, sasa kazi kwake kujiongezaa, akini face fresh, akikausha na mie nakaukaa kauuu.
Kamwee siwezi kumtongoza mwanaume kavu kavu, najiona km najishusha thamani vilee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Damu tena, ulitaka kurusha ngumi za kwenye keyboard πHapana tuliwahi gombana ilibaki kidogo damu imwagike siku ile πππ
Jamanii πππAnaonekana ni mtu mwenye nongwa sana!
Eti 3 years back anakumbuka mpaka leo! kuna watu wanaichukulia JF serious aisee,sikuwahi kujua hilo.
π π
Siku akikupa buku atakuja kuikumbushia baada ya miaka 3 jipange na somo la historia toka kwake.Kwahiyo nikimkubalia nijipange au nimkazie tu?π
Image alinambia single mama niliyekosa soko πππDamu tena, ulitaka kurusha ngumi za kwenye keyboard π
Wewe kabisa?Namtongoza
Same to memim ukinitongoza nakuchomolea ata kama ni mzuri unazaje kunitongoza mwanaume ni udhalishaji uo Simba sio Fisi nyama tunawinda wenyewe
Hamna bana mimi si mtu wa hivyo siwezi weka kitu moyoni πSiku akikupa buku atakuja kuikumbushia baada ya miaka 3 jipange na somo la historia toka kwake.
π
π kuna mahala ulizingua sio bureImage alinambia single mama niliyekosa soko πππ
SawasawaNasubiri afunguke asipofunguka basi. Nina utaratibu wangu mwanaume asiponitamkia kunihitaji ni marufuku kumuanza hata iweje nakufa na tai shingoni.
π umeunlock pattern muhimu sana mkuu, shukuraniSiku akikupa buku atakuja kuikumbushia baada ya miaka 3 jipange na somo la historia toka kwake.
π
πππUna mteteaπ kuna mahala ulizingua sio bure
Dah ulikuwa ushaelekea kibra ila sio mbayaπ umeunlock pattern muhimu sana mkuu, shukurani
Hapana najaribu tu kuona ni kwanini ilifikia huko.πππUna mtetea
Ila kwa tafsiri nyingine,kunikumbuka mimi kwa kitu kilichotokea 3yrs back inaonekana unanijali sana,upo umuhimu wangu kwako,wagombanao ndio wapendanao.Hamna bana mimi si mtu wa hivyo siwezi weka kitu moyoni π
π hatukatagi tamaa mapema hivyo
Huyo kisha ingia kingi tayari,kazia hapo hapo,kilichobaki ni kama anaipandisha thamani yake tu,ila hapo kazi umesha maliza.