Wanawake: Unajisikiaje kila ukipata mwanaume anaeleweka, anakuwa tayari ana mtu wake

Ni kama wao tu
Okay, hatakama hutanipa nafasi lakini naomba uamini kuwa I am nothing like them. Yani ni sawa unalinganisha kilimanyege na Everest, au Harmorapa na Chris brown au Bajaji na Bugatti.

When I love, I love.
And there's something about you that makes me feel like I want to share that love with you.
 
Ishia hapo mkuu
 
Usikaze fuvu mkuu mtu wake means mwanamke wake
 
Shida yangu nini sasa mkuu
Maana hao wote 3 ukimtoa no 2 hamna hata aliyewahi ku complain labda nina shida
Wengi huishia kusema nina deserve kupata mtu sahihi sasa mimi shida yangu ipo wapi
Rudi kaburi namba 2 fanya ritual yoyote kufungua zile ahadi bado yupo na nafsi ake inalinda ahadi zenu. Ikiwezekana omba hata radhi kwa namna moja au nyingine pale hatma ilipoamua katikati ya safari yenu. Hatujui ni nini hujiri katika ulimwengu wa roho na hata huu wa macho tunaouona bado tunafichwa mengi hatuwezi kufikia. Ile siri ambayo hautamani yeyote AIFAHAMU nenda kamueleze namba mbili na kufika mwakani majira kama haya. Njoo utueleze hapa. Karma is real.
 
Usikatae date na mkaka unaemuona rough rough mara nyingi wale hawana commitment,ila hayo mambo ya kuchagua wakaka smart wote ni majimbo ya watu hapo utatafuta migogoro tu
Hahah et rough rough ila mkuu kwani wewe unaweza date na mtu yuko rough
 
Hhahah... msukuma ndo ametisha sana hapo. By the way, utampata wako wa moyo one day. Mimi niko single kama uko interested niPM
 
Usikatae date na mkaka unaemuona rough rough mara nyingi wale hawana commitment,ila hayo mambo ya kuchagua wakaka smart wote ni majimbo ya watu hapo utatafuta migogoro tu
Mimi nkiwa single ndo waga napendeza Sasa...si nakuwa nawawinda.
Utakuta nimepiga cheni saa mabling bling.

ila nkiwa double nakuwa kawaida sana...mbwembwe zinapungua
 
Kua mpole mapenzi hayana champion
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…