Wanawake wa Afrika ni wepesi kubadilika na kuacha maadili ya asili kulingana na mazingira kuliko wanawake wa Kichina au Wahindi

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Katika mafundisho ya jamii, jamii za zetu zote zinamtaarisha mtoto wa kike kuwa mlezi wa familia. Kuondoka nyumbani kwa mtoto wa kike ni kukabidhiwa kwa mume. Mume huyu anakua ndiyo mtu wa kukulinda na wewe unategemewa umlee. Ujue chakula chake, usingizi wake na afya yake.

Katika familia zenye kipato cha kati ambako mama na baba wote wana majukumu mazito maofisini au hawa wenzetu walio hamia Ughaibuni taratibu hizi zinabadilika. Kukitokea kutofautiana katika ndoa mara nyingi mgogoro husuluhishwa kwa talaka na mali kugawanywa.

Kwanza binti kabla hajachumbiwa huyo mchumba anaangaliwa (1) ametoka katika familia gani. (2) ana elimu gani na ajira gani.

Nimekutana na familia nyingi za Wachina na Wahindi. Mama ndiye mwenye elimu na ajira ya kueleweka, mume ana ajira ya kusukuma siku lakini mama akirudi nyumbani ni mke wa kumuandalia mume wake na watoto chakula. Mshahara unagawanywa katika majukumu bila kujali nani ameingiza kiasi gani. Hawa watakuambia wametoka kijiji kimoja.

Familia hizi hutokaa usikie matatizo yao ya ndoa. Hata wakiwa na tofauti zinamalizwa ndani ya familia.

Tunalalamika kuwa vijana wetu wanakiuka maadili kwa kuzaa nje ya ndoa. Tumeacha kufundisha jamii umuhimu wa familia pia tuanze kulea watoto wa kike kwkuwaandaa kwa majukumu sawa na wakiume. Tuache ile dhana ya kuwa mwanaume ndiye mpambanaji katika familia.
 
OK! Lakini tukirudi hapo katika suala la maadili ya asili;

Katika jamii na familia za Kiafrika, kwa kipindi kirefu mwanamke amekuwa akikabidhiwa majukumu tofauti sana na mwanaume. Hiyo ni asili ya Kiafrika.

Linapokuja suala la "majukumu sawa" ndipo tunarudi pale pale katika hiyo migogoro ndani ya ndoa. Majukumu sawa kwa maana ipi?

Nafikiri kila mmoja katika ndoa yampasa kusimama katika majukumu yake yanayompasa kuyafanya na si "majukumu sawa". Ili kuijenga familia bora na isiyo na migogoro ya kila mara, kila mmoja anapaswa kusimamia vyema nafasi yake katika ndoa.
 
Mimi nilishajiwekea utaratibu lazima nimzidi mama Elimu na kipato,

Mwanamke wa kileo akiwa na Ka master's degree wewe ukawa na sijui ni level gani huko chini jiandae kisaikolojia.....

Vijana wenzangu, tuhakikishe tunatafuta pesa+ Elimu pia, hawa ndugu zetu sijui wana nini......

Jana nilikuwa naongeza na kadada fulani hivi kana master's degree, kananiambia Dogo udahili unakuja ukasome nikajua hili dongo hili

Da*n
 
Africa kuna confusion
Mtu baba mhaya..
Mama nyakyusa..
Baba muislam
Mama mkristo

Anajifunza culture zipi na kuacha zipi?.
Multi cultural society zote zina confusion
Ndo maana wamarekani nusu ya ndoa zinaishia divorce...

Ukikuta watu culture moja ..ndoa zinadumu sana..

Wahindi unakuta .. Hinduism kama dini na culture..
Waarabu unakuta Islam kama dini na culture..
Ndoa zinadumu..

Ukileta mchanganyiko sana.. confusion inatokea..

Somalians culture na dini moja..ndoa zinadumu
Na maadili wanayo..
 
Tafuta mke mnaelewana na mwenye maadili. Umuhimu wa ndoa ni furaha na amani. Ninadhani cha muhimu zaidi ni kuweza kumaliza tofauti zenu kwa amani.
 
Africa kuna confusion
Mtu baba mhaya..
Mama nyakyusa..
Baba muislam
Mama mkristo

Anajifunza culture zipi na kuacha zipi?.
Multi cultural society zote zina confusion
Ndo maana wamarekani nusu ya ndoa zinaishia divorce...

Ukikuta watu culture moja ..ndoa zinadumu sana..

Wahindi unakuta .. Hinduism kama dini na culture..
Waarabu unakuta Islam kama dini na culture..
Ndoa zinadumu..

Ukileta mchanganyiko sana.. confusion inatokea..

Somalians culture na dini moja..ndoa zinadumu
Na maadili wanayo..
Haya unatengeneza mazingira ya kutembea na dada au ndugu zako

Iliwahi nikuta 3 times, hasa katika kanda ya kaskazini kule, kila ninayetaka kumuweka ndani nikimuuliza uzao wao Baba ni ukoo au uzao tofauti ila najikuta nakata tamaa pale unapoulizia mama yake unakuta ni chain ya familia [emoji849][emoji849]
 
Ndugu yako ni damu ya Baba yako au Baba yako..

Watoto wa mbali ..ambao Baba zao ni mbegu ingine sio ndugu zako
 
Haya unatengeneza mazingira ya kutembea na dada au ndugu zako

Iliwahi nikuta 3 times, hasa katika kanda ya kaskazini kule, kila ninayetaka kumuweka ndani nikimuuliza uzao wao Baba ni ukoo au uzao tofauti ila najikuta nakata tamaa pale unapoulizia mama yake unakuta ni chain ya familia [emoji849][emoji849]
Jirani yetu alikuwa a na binti wa kabila lake Chuo Kikuu.Alipotaka kumvalisha pete aliambiwa yule ni mpwa wake mtoto wa binamu yake. Yule kaka alikuwa kuoa mtu mwingine .uzeeni.
 
Africa kuna confusion
Mtu baba mhaya..
Mama nyakyusa..
Baba muislam
Mama mkristo

Anajifunza culture zipi na kuacha zipi?.
Multi cultural society zote zina confusion
Ndo maana wamarekani nusu ya ndoa zinaishia divorce...

Ukikuta watu culture moja ..ndoa zinadumu sana..

Wahindi unakuta .. Hinduism kama dini na culture..
Waarabu unakuta Islam kama dini na culture..
Ndoa zinadumu..

Ukileta mchanganyiko sana.. confusion inatokea..

Somalians culture na dini moja..ndoa zinadumu
Na maadili wanayo..
Bila kuwasahau WAMASAI
 
ukweli mtupu
 
Mwanamke wa kileo akiwa na Ka master's degree wewe ukawa na sijui ni level gani huko chini jiandae kisaikolojia.....

Da*n
Je kama nimemzidi kipato yeye pamoja na ukoo wake wote ila form four failure bado ita matter?
 
Ni Ulimbukeni tu wa dada zetu. Wengi wanasahau kuwa ndoa ni taasisi inayojitegemea na inamiongozo na kanuni zake tofauti na taasis nyingine, ila sisi wengi tunapoingia kwenye ndoa hasa wadada wanalazimisha kuingia na kanunu nyingne ambazo sio za ndoa.

Ndio maana ndoa nyingi kwa sasa hasa za wanawake wa kiafrica wanaojiita wasomi na wenye kipato kikubwa kushinda wenza wao sio ndoa tena bali ni kampuni mwenyewe hisa nyingi ndio kiongiz.
 
OK! Lakini tukirudi hapo katika suala la maadili ya asili;

Katika jamii na familia za Kiafrika, kwa kipindi kirefu mwanamke amekuwa akikabidhiwa majukumu tofauti sana na mwanaume. Hiyo ni asili ya Kiafrika.

Linapokuja suala la "majukumu sawa" ndipo tunarudi pale pale katika hiyo migogoro ndani ya ndoa. Majukumu sawa kwa maana ipi?

Nafikiri kila mmoja katika ndoa yampasa kusimama katika majukumu yake yanayompasa kuyafanya na si "majukumu sawa". Ili kuijenga familia bora na isiyo na migogoro ya kila mara, kila mmoja anapaswa kusimamia vyema nafasi yake katika ndoa.

Nilimaanisha kuwa, mwanamke unapokuwa na kipato kikubwa uachane na dhana kuwa mahitaji yote ya ndani ni jukumu la mwanaume. Na mwanaume ikiwa mke wako anachelewa kurudi uwe na ujuzi wa kuandalia watoto chakula.
 
Africa kuna confusion
Mtu baba mhaya..
Mama nyakyusa..
Baba muislam
Mama mkristo

Anajifunza culture zipi na kuacha zipi?.
Multi cultural society zote zina confusion
Ndo maana wamarekani nusu ya ndoa zinaishia divorce...

Ukikuta watu culture moja ..ndoa zinadumu sana..

Wahindi unakuta .. Hinduism kama dini na culture..
Waarabu unakuta Islam kama dini na culture..
Ndoa zinadumu..

Ukileta mchanganyiko sana.. confusion inatokea..

Somalians culture na dini moja..ndoa zinadumu
Na maadili wanayo..
Mkuu huu ni ukweli 100%
 
Dah!..kila nikisoma hizi mada za ndoa zinaniacha na maswali mengi...

Anyway yote maisha tu acha nisifikirie sana.
 
Katika mafundisho ya jamii, jamii za zetu zote zinamtaarisha mtoto wa kike kuwa mlezi wa familia. Kuondoka nyumbani kwa mtoto wa kike ni kukabidhiwa kwa mume. Mume huyu anakua ndiyo mtu wa kukulinda na wewe unategemewa umlee. Ujue chakula chake, usingizi wake na afya yake.

Katika familia zenye kipato cha kati ambako mama na baba wote wana majukumu mazito maofisini au hawa wenzetu walio hamia Ughaibuni taratibu hizi zinabadilika. Kukitokea kutofautiana katika ndoa mara nyingi mgogoro husuluhishwa kwa talaka na mali kugawanywa.

Kwanza binti kabla hajachumbiwa huyo mchumba anaangaliwa (1) ametoka katika familia gani. (2) ana elimu gani na ajira gani.

Nimekutana na familia nyingi za Wachina na Wahindi. Mama ndiye mwenye elimu na ajira ya kueleweka, mume ana ajira ya kusukuma siku lakini mama akirudi nyumbani ni mke wa kumuandalia mume wake na watoto chakula. Mshahara unagawanywa katika majukumu bila kujali nani ameingiza kiasi gani. Hawa watakuambia wametoka kijiji kimoja.

Familia hizi hutokaa usikie matatizo yao ya ndoa. Hata wakiwa na tofauti zinamalizwa ndani ya familia.

Tunalalamika kuwa vijana wetu wanakiuka maadili kwa kuzaa nje ya ndoa. Tumeacha kufundisha jamii umuhimu wa familia pia tuanze kulea watoto wa kike kwkuwaandaa kwa majukumu sawa na wakiume. Tuache ile dhana ya kuwa mwanaume ndiye mpambanaji katika familia.
Umenena vyema sana wapitie huu uzi waokote angalau mawili matatu
 
Back
Top Bottom