Wanawake wa Babati ni wazuri kuliko uzuri wenyewe halafu hawaringi wala

Hao weny mchanganyiko na waarabu ni wazuri kwa sura na rangi angalau waoo vizuir ukianza Manyara,singida ,kondoa ,Tanga, Tabora.

Halafu kuna wachaga,wapare wana mchanganyiko na wazungu ni wazuri ila miguu kama mikono ya ndoo.
Duh
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Vipi akiwa mbaya kwa macho yako na bado akawa anaringa??
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Vipi akiwa mbaya kwa macho yako na bado akawa anaringa??

Mwanamke akishakuwa anaringa lazima atakuwa anajipenda, anavaa vizuri, anamadoido na mapozi, na swaga za kike.
Jambo ambalo hata kama atakuwa sio mzuri lakini atakuwa anavutia.

Kuna wengine ni Wazuri lakini hawavutii. .

Sasa kama namuona Mbaya yaani sio mzuri na bado havutii hapo nitashangaa kweli

Nadhani utakuwa umenielewa
 
Nimekuelewa vizuri sana.
 
Ukikaa mbulu na karatu watakuua kabisa wewe , kuwa makini huko kisonono ni nje nje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…