Wanawake wa hivi ni wa kula tu, usioe

Manzi mwenye anapenda kupiga kelele na maugomvi ni heri ujifiche juu ya pembe ya paa kuliko kuleta mazoea naye.
 
Mwanamke ambaye sioi:

-Mwenye mashosti na kupenda ku cling na circle ya mashosti.
-Social media Queen kujipost kila afanyalo through the day ingewezekana ata akinya kujipost angeweza.
-Kikuku na tatoo za ugoko au shingoni, mgongoni is disqualified.
-Njaa oriented, mwanamke wa kuomba omba 24/7 matatizo ya dunia kama anayamiliki yeye tu Mungu aniepushie hilo balaa tu.
-Much know na ubishi wa kijinga.
 
Mwanamke mwenye mtoto (single mother) hawa huwa mapenzi yapo kwa watoto wao tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…