flulanga
JF-Expert Member
- Jul 1, 2016
- 4,860
- 6,390
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo umeona uje uniabishe babe? 😞😞Sa mbona ukiombwa hutoi babe?
Njoo ipo wazi.Me sijaolewa,nije pm?
Huu ni urembo wa tangu na tangu na wake zetu sisi wanavaa ila tukiwa nao tu majumbani mwetu wakitoka hawavai hasa hivyo vikuku.1. Wanaovaa vikuku. Kama unabisha mpeleke kwa mama yako akiwa na kikuku.
2. Waliotoboa pua.
Nkutumie kwa namba ipi dada?Naomba hela[emoji4]
Nkutumie kwa namba ipi dada?
kwa nini wakitoka hawavaiHuu ni urembo wa tangu na tangu na wake zetu sisi wanavaa ila tukiwa nao tu majumbani mwetu wakitoka hawavai hasa hivyo vikuku.
Shukrani.
Ni kama chaja....Mwanamme ni kama Nini??
Wenye kucha ndefu zake au za kupachika...piga kimbia[emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]walioolewa wanatumikia ndoa sahizi
Kama hizi nilizonazo😅😅😅😅😅Wenye kucha ndefu zake au za kupachika...piga kimbia[emoji23][emoji23]
Manzi ambae haniombi hela siwezi kumuoa.
Jmn wanaume mna visingizio nyieeee... Haya bhn ila mm password yangu sikupi
Hamna haikuwa akili yangu nilikuwa nishakunywa gongo. Nafuta kauli.[emoji23][emoji23][emoji23]mbona hukunambia
Ukorofi huo
Sababu mapambo ya wake zetu ni kwa ajili yetu sisi waume zao tu.kwa nini wakitoka hawavai
Mtoto wa kitanga mwenyeweNavivaa vizuri tu. Ni kawaida kwenye jamii yangu
Mwanamke mwenye mtoto (single mother) hawa huwa mapenzi yapo kwa watoto wao tuHapa hakuna chuki, tunatoa maelekezo kwa vijana wanaotafuta wake.
Wanawake wa namna hii ishia kula tu, usidhubutu kuoa.
1. Wanaovaa vikuku. Kama unabisha mpeleke kwa mama yako akiwa na kikuku.
2. Waliotoboa pua.
3. Wanaovaa suruali za kubana na vimini. Kama unabisha mpeleke kwa baba yako akiwa na mini.
4. Wanaopenda club na pombe kwa wingi.
5. Waliojichubua,anakuwa kama kapanya kamepakwa unga.
6. Wanaotoa kinyume na maumbile.
7. Wanaopanda vyeo kisiasa sababu ya kuwa karibu na wazee wa chama,wakati mweupe.
8. Mwanamke asiye na akili.
9. Mwanamke mwenye tatoo
10. Mwanamke anayetumia tako kama msingi wa biashara
11. Mwanamke msela kujimiksi na wavulana ni laana.
Ongeza na wewe bila chuki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haswaa! Ila hiyo ni picha tu umeweka ama ni wewe?Kama hizi nilizonazo[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
OK am comingNjoo ipo wazi.