Wanawake wa JF mbona hamjibu Private messages?

Jamaa: Mambo

Mie: poa

Jamaa: Uko poa?

Mie: yeah sijambo

Jamaa: Mambo yanaendaje lakini.

Mie: Yanaenda vizuri nashukuru

Jamaa: Niambie

Mie: Nipo tu sina mpya

Jamaa: Umevaa nini?

Mie: [emoji849] suruali na t-shirt

Jamaa: kwani kuna baridi? Natamani nije nikuvue

Mie: [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]

***Kiukweli wengi ni pumba tu hawana la maana kila siku maswali hayo hayo , salamu inajirudia mara mia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmh...!

Toka uwashangilie Watford sikupendiiiii.

Loh!hiyo 'sikupendiiiiii' i felt it aseee!
Kimsingi team yoyote inayoifunga Liver naishangilia,najua unajua hii

Halafu mie nachojua sisi liver We Never Walk Alone kwa hiyo hata kama hunipendiiiii i'll never let you walk alone....nitakuganda hadi ubingwani
 
Alikua na nyege sana huyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You are something else Don.
 


Hahahahah siku jaribu kuchat na Hazard CFC

Hutajuta 😂😂😂
 

Hiyo sikupendiii unajua siyo ya kweli, ni ya kimpira tu.

Ila siku ile ilikuwa noma sana, halafu nilikuwa chimbo ambalo mimi ndo kiongozi wa washabiki wa Liver, nimeenda na matokeo mfukoni.
 
Hakuna maswali nachukia kama 'umeshapanda kitandani'? 'Umevaa nini'? Hata shemeji yako maswali haya huwa simjibu (hilo la umevaa nini)sembuse we stranger wa Jf [emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Historia ya humu inaonyesha mkianza kwa ugomvi mnaishia kua wapenzi...jitahidi kugombana nae mkuu lazima mtakua na mwisho mzuriii

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mtu aliwahi nijia PM kwa swagg moja ya kimafia,
Nika plan nimvuruge mpaka anyooke yaani aliniboa mpaka nikajiuliza kanionaje huyu!??

Guess how that turns out to be!!? Ni mwaka umetimu mpaka sasa kila tukikumbuka huwa tunacheka sana!!
 
Tushawajua mbinu zenu sasa. 😅 Hivyo komaeni kufanya fujo kwa marefa na Tiefuefu mupate ubingwa. Huku kungine hatutaki. 😎

Ubingwa ni wetu kwa miaka kadhaa mfululizo.

Nyinyi endeleeni kulia lia tu, na mlipe mishahara maana wanakimbia njaa huko.
 
Kuna mtu aliwahi nijia PM kwa swagg moja ya kimafia,
Nika plan nimvuruge mpaka anyooke yaani aliniboa mpaka nikajiuliza kanionaje huyu!??

Guess how that turns out to be!!? Ni mwaka umetimu mpaka sasa kila tukikumbuka huwa tunacheka sana!!
Kwamba mko pamoja?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…