Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Jamaa: MamboNilikuwa nashangaa inakuwaje mtu anatumiwa message hajibu? Nikagundua huku kuna mataahira huwa wanatuma meseji kwa kujaribu au sijui nisemeje? Jitu linakupm leo 'mambo'? Unalijibu hapo hapo 'poa vipi'? Halijibu linapotea. Sasa hivi nikiona mtu simuelewi amenipm nafuta na ku-unfollow wala sihangaiki naye
Sent using Jamii Forums mobile app
Mie: poa
Jamaa: Uko poa?
Mie: yeah sijambo
Jamaa: Mambo yanaendaje lakini.
Mie: Yanaenda vizuri nashukuru
Jamaa: Niambie
Mie: Nipo tu sina mpya
Jamaa: Umevaa nini?
Mie: [emoji849] suruali na t-shirt
Jamaa: kwani kuna baridi? Natamani nije nikuvue
Mie: [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
***Kiukweli wengi ni pumba tu hawana la maana kila siku maswali hayo hayo , salamu inajirudia mara mia.
Sent using Jamii Forums mobile app