Mbona mguno tena.ha ha ha mmmh wewe Hajar wewe ha haha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mdada anaefunga Pm hajiamini na inawezekana akawa mwajuma mlango wazi ukibisha hodi tu ndani, sasa ili kukwepa hilo anaona bora afunge tu maana mtu anaejiamini anajua hili yes hili no so hana haja ya kufunga PM. Jf wangetoa kwanza hii kitu wengine kuanza kuanzishiana thread humu kisa mtu unamkubali lakini kafunga PM unaamua kwenda public hatuwezi mnatupa tabu kweli[emoji38] [emoji38] [emoji38] .
Kama kweli vile mnavyoandikaBasi wewe kama mimi tu mkuu, mambo ya kufata fata watu PM jau
Too talented girl,so genius wewe........ha ha ha mwambie basi asifanye vileMbona mguno tena.
Nilijua tu unayemlenga pale. Hahaaaa.
Uhitaji wa haraka kama upi huo Mkuu?Sema wakati mwingine mtu unakuwa na uhitaji wa haraka ambao ni reasonable sasa unakuta PM imefungwa. Nadhani ni vizuri zingekuwa wazi na kama ni usumbufu unapuuza tu
Anhaa,...nikajua naww "umo" wakati tulizo la ndani ya moyo unalo tena ameizing...[emoji3][emoji3]Hahaha
Silalamiki shemeji nawapongeza tuu vijana wenye bahati
Kwenye jamii hamuwezi kuelemika wote. Wajinga hawakwepekiBasi kupitia mnavyofunguka kwenye huu Uzi watabadilika tu
sorry chief, hivi unajuaje kama PM imefungwa?Pole sana kiongozi.
Ngoja tusubirie majibu yao.
Kuna siku nilitaka kuingia PM ya mmoja nilikuta geti la chuma ikabidi nirudi kimya kimya.
YeahAnhaa,...nikajua naww "umo" wakati tulizo la ndani ya moyo unalo tena ameizing...[emoji3][emoji3]
MashAllah....Yeah
Nashukuru Mungu na nimetulia kweli kweli
Habari za saa hizi wapendwa?
Natumaini hamjambo na ni wazima kabisa kama mimi nilivyo mzima.
Waungwana kuna jambo ningependa kufafanuliwa kwanini wanawake wa humu wanapenda kufunga PM zao?
Maana nimeliona Mara nyingi sana hili suala la wanaume kupiga magoti na kujishusha wakiomba kufunguliwa PM ili waweze kuongea Yale mambo ambayo huwa hayaongelewi public.
Ningependa kupata ufafanuzi wa kina na upembuzi yakinifu kuhusiana na hili suala.
ha ha ha pole sana mkuuKila mmoja huwa na Sababu zake binafsi
upande wangu mie ni Uvivu wakujibu mtu
unakuta ukiacha Pm waza ndani ya masaa Unakuta full sms
Unamjibu huyu
Mwingine anauliza lile
Kiukweli nikazi
Mie nina kapicha kangu hako ndo nakatumia sasa hivi sasa kama mwenyewe yumo humu atamisamehe tu maana ndo nakatupia nkiombwa picha[emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] si ungempa ya mama Janet wa makufuli!
Hahah!! Aya toa maoni yako sasaKoh koh koh.
Hahaaaa. Lol.Too talented girl,so genius wewe........ha ha ha mwambie basi asifanye vile
Mbona sababu zako ni dhaifu flan ivi?Kila mmoja huwa na Sababu zake binafsi
upande wangu mie ni Uvivu wakujibu mtu
unakuta ukiacha Pm wazi ndani ya masaa Unakuta full sms
Unamjibu huyu
Mwingine anauliza lile
Kiukweli nikazi
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sina dau bwana we nikimuelewa mtu nampa akijigusa kunipa kifuta jasho poa tu ila wala sio laziiima sema mwanaume lazima ujionyesheHebu taja tuone
Nimeandika rafiki post no [HASHTAG]#130[/HASHTAG].Hahah!! Aya toa maoni yako sasa